Habari wakuu wa jukwaa hili!
Kwa wanaofahamu ningependa kujulishwa visumbuzi vya azam ni model gani na je vina hdmi port?
Nataka nijue pia kama naweza tumia hicho king'amuzi na lcd monitor yangu...
:grouphug:found somewhere...labda mtu mwingine anaweza akapenda pia :typing:
nilikuwa na tatitzo la ku-activate iphone yangu but nilipata solution baada ya kucheki hapa ....you welcome...
Wanajamii, ni mategemeo yangu munaendelea vyema, tupo kwenye mchakato wa kukamilisha ufunguzi wa ofisi zetu za branch ya dar, hivyo tunahitaji vijana wenye nguvu, ari, moyo na uwezo wa kazi, na...
Wakuu me si bora sana katika teknolojia ya simu za mkononi, nataka kununua simu na nimepata option ya simu mbili kati ya hizo tajwa hapo juu, najua kuna wataalamu humu naombeni mnipe wazo ipi bora...
Habari zenu wana TECH.?
Nimewah kutumia simu mbalimbali zenye os tofauti,mfano:-
NOKIA LUMIA 620(WP 8)..
SAMSUNG GALAXY S3(ANDROID,ICECREAM SANDWICH)..
TECNO P5(ANDROID JELLYBEAN)..
Os...
:grouphug:nimeiona sehemu fulani nikawa interested nahisi pia kuna mtu atakuwa interested pia :typing:
Edit ArticleHow to Create a Free Virtual Wifi Hotspot on Your Laptop...
Guys, I don't know what what I was thinking, Jana mchana kuna sehemu went to fetch some movies and found out that my 1.5TB external hard drive is full and so had to delete some movies randomly...
Nilinunua TV aina ya LG (LED) 47 Inch tokea mwaka February, 2012. Nimeitumia vizuri tu lakini ilipofika March 2013 ikaanza ugonjwa ambao mpaka leo unaendelea.Ukiiiwasha na kutumika kwa muda kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.