Mimi nina dish la futi sita na lnb 1 na ku band 1, lakini star tv na tbc1 zinasumbua sana hazipatikani ch 10 ina scatch vibaya nifanye nini au hawa jamaa signal zao zipo weak msaada unahitajika...
Facebook has spread like an infectious disease but we are slowly becoming immune to its attractions, and the platform will be largely abandoned by 2017, say researchers at Princeton University...
nimecopy movie ambavo ipo kwenye mfumo wa VCL kwenye flash disc na lengo langu ilikuwa ni kuiangalia hyo movie kupitia deck yangu ya samsung ili kitu kidisply kwenye big screen sasa tatizo...
Hello Jamii forums member
I am 25 years old male, with good health thus I can work in different conditions.
I am form six leaver, holding grade II of electrical and...
Wadau naomba mnijuvye,nahitaji printer kama nilivyoianisha hapo juu.Kwa anaefahamu bei yake pls naomba msaada.
Kwa wakaazi wa DAR na Arusha wapi naweza kuipata...
Nina Dell Niliachiwa Ni Old School Dell Latitude D630 Ina 2GB Ram, 1Gb Processor 250HHD.
Inasumbua Kila Mara Ninapotaka Kucheza Gemu like GTA Vice City Au Kufungua Program Za 3D Edit Huwa...
Habari zenu wakuu.
Siku 3 zilizopita nilipoteza Galaxy.
Leo nimejaribu kupiga no ambayo niliipoteza na huyo simu ikawa iko hewani ila haipokelewi.
Naomba mnisaidie ni jinsi gani naweza...
Habari zenu Wakuu, nina Fifa 14 ambayo ipo Cracked na Nos Team. Haina tatizo lolote lile, kwa wale wapenzi wa mpira wanaifurahia sana hii Game. Mimi nipo Dar na sidhani kama nitatoka nje ya Dar...
Wakuu,
Kwema? Nimekutana na hii app katika pitapita zangu. Kwa kifupi hii ni app inayo f(x) kama air gesture ya kwenye S4 na other devices. Iko poa kwa namna flani and its really cool n...
China has always tried to support its homegrown tech industry and even the security concerns over U.S. secret surveillance which gives Chinese Government another reasons to trust domestic...
Calling all hackers. Google is handing out the big
bucks.
Yesterday, the tech behemoth announced plans
for its fourth annual hackathon (called Pwnium
4: "Pwn,"the act of breaking into a...
Wakuu simu yangu tajwa hapo juu nikizima haiwaki hadi niisogeze kwenye chaja ipate moto hata kama ilikuwa imejaa halafu ndo inawaka. Tatizo limeanza leo. Je nifanyeje ?
niko chuo kilimo hapa Arusha,kuna tatizo kubwa hapa chuon la shortcuts cjaelewa n virus or what,ukichukua program toka computer moja kupeleka nyingine unaikuta iko shortcut ila ukiiclick inafungua...
Vp wakuu? ivi ni software gani bora ya ku unlock huawei modem? (sio code calculator). Halafu vipi kuhusu zile modem za huawei unakuta hazina IMEI(hususan za zantel) but zina S/N pekee,tunafanyaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.