So in the spirit of educational password-shaming, here's SplashData's list of this year's 25 worst passwords, along with expert analysis of what each one says about the sort of person who uses it...
Wakubwa, nimeuziwa iphone 5S ambayo nashindwa kuitumia kwa sababu ina iCloud lock, na aliyeniuzia sina contact nae tena. Nawezaje kuiondoa? Kama unaweza tafadhali tuwasiliane kwa pm, niko Dar.
Not a mosquito. It's an insect spy drone for urban areas, already in production, funded by the US Government. It can be remotely controlled and is equipped with a camera and a microphone. It can...
Wadau naombeni mnisadie ninashindwa kutumia laini yangu ya airtel coz mtu akinipigia anapata ujumbe "call rejected". Nimejaribu kutumia #35 *000# naambiwa request can not be completed.Naombeni...
Wakuu wa janvi habari za kujishughulisha, ninaomba kwa anayefaham mahali nitaweza kununua DELL VOSTRO 270 Nitashukuru sana, nahitaji computer hiyo kwa ajili ya kazi zangu za ofisi coz nimeona ina...
Wadau naombeni mnisadie ninashindwa kutumia laini yangu ya airtel coz mtu akinipigia anapata ujumbe "call rejected". Nimejaribu kutumia #35 *000# naambiwa request can not be completed.Naombeni...
ndugu zangu kuna kitabu nimedownload na kukisave kwenye PC yangu,lakini nikitaka kuprint nipate hardcopy ile print icon haiwi active kuniruhusu niprint,kitabu kiko kwenye PDF (secured) .Mwenye...
oy wajameni, wale wa kubundika kijanja ndio mwisho wetu... Wamefuta bhana ile offer yao. Yaani kushney kabisa. Nimeiangalia ile msg yao mara mbili-mbili ila naona hawajakosea. Wameamua kuifutilia...
Habari wa JF??
Nina simu yangu ya HTC wildfire S ipo Poa kiukweli but tatizo ni moja tu.....LOW INTERNAL MEMORY I hope ntapata maujanja ya jinc ya kulitatua hili tatizo...
Nategemea ujuz...
Wakuu! nina samsung s4 galaxy,by now haidownload applications toka playstore,but siku za mwanzo ilikua very fast lakini kwa sasa ni tatizo,so inaniwia vigumu ku apdate application yeyote au...
Bill Gates Will Be the Next Microsoft CEO, Sort Of
.
But 18 hours ago bill gates sayed that
.
Bill Gates Say AGAIN That He Won't Come Back As Microsoft's CEO
.
Watch Bill Gates On Microsoft...
Nina Samsung window SGH-i917 window phone 7 AT&t h haiwez kudownload whatups na application nyingine. Ukitaka hata kuweka hata fedha application haziwwi active
Wakuu nauliza kama kuna namna naweza save Profile Picture ya mtu ya Whatsapp kwenye simu yangu maana naona hiyo option siioni au kama kuna prog yoyote inabidi nidownload tafadhari mnijuze.NB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.