guys habari natumaini mu wazima,ningependwa kujuzwa kuhusu redio ndogo aina ya sony inayoweza bebeka mfukoni kirahc yenye fm&am radios pia iweze kutumia memory kadi .nataka kujua kama ipo ni bei...
hii habari nashangaa sjaiona tanzania lakini imesambaa kwenye website za tech dunia nzima. Nilijiskia faraja kidogo kuona jina tanzania linatajwa dunia nzima.
Chaja inaitwa ''ready set...
wakuu mm ni kilaza mmoja wa mambo ya computer ambae najua kutumia vitu vidogovidogo tu sasa nilijitahidi nikawweza kudownload idm (internet download manager) wakanipa trial version ya 30 days sasa...
http://download2us.softpedia.com/dl/2dd2379be0981a31f1b19ae2197bc9f1/528cd6fc/800144957/pda/Internet%20Utilities/Instant%20Messenger/BBM_Android.apk
.
.
Katika BBM ya Mwez
uliopita
Watumiaji...
Well, the amount of
reward is really big and
off-course exploits of
the hackers were also
not small, let us give
you an introduction of 5 Most wanted hackers: First two are from
Pakistan...
Hello wanajf katika jukwaa la masuala ya technologia! Juzi nilikuwa natumia internet kwenye laptop kwa bahati mbaya nilichomoa moderm bila ya kudisconnect ndipo machine ikazima! Nikiwasha...
Wakuu heshima kwenu, simu yangu ni Sumsung Galaxy Note 2 GT N7100 sasa kila nikijaribu kufungua jf nashindwa yaani naweza kufungua tu General forum tu, nikitaka kufungua jukwaa lolote najibiwa...
Habari zenu wanajamii forum, naomba msaada wa mwenye kujua wapi naweza kupata training ya ORACLE database hapa dar, Hatua technology nimeskia wanatoa hii course but ni training pekee bila...
Intel has recently released version 15.28.20.3347 of its HD Graphics 3000/2000 driver. This update resolves the content protection related issues when upgrading to Windows 8.1, as well as the...
Naomba kwa wenye uelewa wanipe namna ya kuwezesha laptop aina ya Samsung kuplay game za movie(eg.GTA Vice city) kwani nikiplay inaandika "no enough video space to play this game".
Habari zenu wana-tech.
Kwa wale mnaopata shida ya kutuma E-Mail zenye attachement ambazo zina files kama .exe na .bat leo napenda tupeane ka ujuzi kidogo hapa.
Kwa kawaida GMail hairuhusu...
Habari wana jamvi..
Nashindwa kupata notification endapo kuna new SMS au missed call.. mpaka niangalie. Mi nataka nilkiwa mbali na simu nikutee kataa kanawaka. msaada jamani
Natumia Tecno L3
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.