Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
kama kunasoftware plz members help me
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa mwenye utaalamu juu ya nokia 5800 express music katika kui weka messenger ya whats'app
0 Reactions
2 Replies
968 Views
kwa anae ihitaji,. p/s send me a PM tuongee zaidi
0 Reactions
0 Replies
640 Views
ni kawaida ya hapa jamiiforums kupeana updates ya vifurushi kila baada ya muda fulani. leo nimewakusanyia vifurush vya mitandao yote minne tanzania na kuepusha post isiwe ndefu sana nimechagua...
8 Reactions
30 Replies
35K Views
Nimechoswa na mtandao huu wa FACEBOOK anaejua namna ya kufuta wala si ku_deactivate acount anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tangu kuanza kuchanganya kwa maendeleo ya Teknolojia Tanzania, tumeona makampuni mengi yakizaliwa siku hadi siku, kila moja likiwa na lundo la huduma wanazotoa kwa wateja wao. Iwe kwa yale ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumaini wote ni wazima wa afya. Naomba msaada katika hili. Nataka kununua smartphone hasa inayotumia OS ya android. Bajeti yangu ni 200,000 mpaka 250,000. Ni simu gani naweza kupata yenye uwezo...
0 Reactions
4 Replies
692 Views
jf naomba mwenye kujua box lenye ubora zaidi la kuflashi simu za aina zote anijuze,mie ni fundi nahitaji kutumia mashine hiyo.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada jamani nimefungu a iphon vizuri bila damage yoyote. Sasa kwenye kurudisha mfuniko/ imeshindikana
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nafahamu fika jamvi lina watu na ujuzi mbalimbali.Ninaomba msaada kwa yeyote anaejua website zipi naweza kupata access ya ku download miziki tofauti tofauti freely.
1 Reactions
14 Replies
15K Views
ndugu zanguni naombeni wapi ni download games za fifa football for pc maana nimejaribu kutafuta internet napata za trial tu!?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nahitaji laptop used (mint condition) ' au mpya!! Mwenye offer nzuri aweke hapa .. note : budget iliyopo haizidi laki nne!!
0 Reactions
1 Replies
554 Views
1. The HST’s history is longer than you might have thought, going back to just after World War II. In 1946, the astronomer Lyman Spitzer identified the main advantages that a space-based...
1 Reactions
0 Replies
542 Views
Habari zenu wana JF, naomba mnijuze jinsi ninavyoweza tambua hizi Iphone ambazo ni original kwani nimekuwa nakutana nazo watu wanaziuza mikononi kwa bei ambayo haifanani na thamani ya simu hiyo...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Hello tena. Nina tatizo la meseji kutoenda katika simu, mtandao wa Vodacom. Nikitumia Nokia Tochi (feature phone), zinakubali pale tu nikitumia message kisha nika click option then reply...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Habari za leo wanajamvi. Ninaomba mnijulishe kuhusu tofauti kati ya aina hizi. Which performs better than the other.
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Wapendwa labda nianze tu kwa kusema nilinunua lumia baada ya kuwa na hamu nayo kutokana na matangazo,lkn naikumbukA symbian yangu ya zaman kwani kwenye search nilikuwa na uwezo wa kutafuta jina na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jumapili ya iliyopita nilipata ajali gari langu liligongwa kwa nyuma likabonyea na bamba likapinda, bahati nzuri halikupasuka kioo wala taa. Siku hiyo hiyo nililipeleka kwa fundi alinyooshe...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
wadau mi ni mmoja wa internet addicted. mara nyingi sana nimekuwa nikijihami kwa kuinstall strong antivirus. hiyo ni kwenye laptop ila sasa hivi nimenunua ka samsung galaxy . je na kenyewe...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Habari zenu wanajamvi? Mimi ninaomba kufahamu kuhusu Windows 8. Nina Dell Optiplex GX 520 ambayo in Specifications zifuatazo:- Processor: Core 2 Duo 2.1 GHz, RAM: 2GB HDD: ina ukubwa wa kutosha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom