habari,naomba msaada laptop yngu inatatizo,kama ikiwaka huwa haicharge kabisa lkn ukiifunga inacharge freshi kabisa nakama ikiwa full charge piya inawaka freshi haisumbui.je tatizo nini???
Kwa nn ni vigumu kubadilisha screen za simu kutoka kampuni moja kwenda ingine ikiwa ukubwa ni sawa?
Mfano watu wanalalamika eti sreen ya simu A si nzuri ni glass ngumu tu wakati kuna screen za...
nahitaji msaada juu ya account yangu ya facebook mwanzo nilikuwa natumia poa nilikuwa nimejisajili kwa namba ya simu sikuwa na email na kwa bahati mbaya ile namba ya simu isha fungwa na...
Wadau HP dv6000 inasumbua sana wakati wa kuwaka inakua kama inataka kuwaka halafu inajizima tena.
Wakuu naombeni msaada nini tatizo maana ikitokea imewaka nikaizima tuu matatizo hayo yanajirudia tena
Habari zenu wadau, ni muda mrefu nilikuwa na dream ya kununua digital camera. nimeweza kusave kiasi cha shs laki 2.5 mpaka sasa.. naomba kujuzwa digital camera nzuri za kununua.. zisiwe second...
Shortcut viruses zinakera sana kwa kweli, unakuta mtu una mafaili yako unamwazima mtu flash au external yako af unakuta mafaili yote yamekua shortcut hayafunguki yameliwa. kwaio wakuu ngoja kidogo...
Mambo vp wakuu,, naomba msaada kwa hili tatizo. now days nikiweka flash kweny laptop vitu vyote vya kwenye flash vinakua shortcut,,,, hii kitu inaniboa sna... ss cjui km ni virus ama nn,, n sijui...
WADAU MSAADA LG HT356SD DVD HOME THEATER MUSIC SYSTEM INAANDIKA protection kwenye window halafu mziki hautoki kuna fundi au anayejua nilinunua nikapewa warrant ya miaka 2 warrant imeisha nifanyaje
Asalaaaaam Aleykuum waungwana. Msaada tafadhali wadau, natumia mtandao wa tigo na nimefanya setup ya internet lakini nimebulia 2g kila ninapojaribu ku-setup. Naomba msaada wenu waungwana!
guys katika pitapita nimekutana na nahii website ya kuangalia muv online kwa wenye bundle za kutosha,disable adds kwanza...
Watch Movies Online for Free - Viooz
salaam wanajamii wote,ninauza wii ipo copmlete na vifaa vyake vyote kwenye box yake kamili pamoja na 3 games zake.(ebrahimimtiaz@gmail.com) this is my email
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.