Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
'habari zenu wana-jamvi natumai nyote mko salama kabisa wakuu....................ndugu mi nna tatizo kwenye ku-install java nime-download 64bit kwa maana machine yangu system type ni 64bit...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
wapendwa yeyote anayeweza kupata dash board ya corona T170 iliyoko kwenye hali nzuri au mpya nahitaji no.0769841918
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Cm yangu nilikuwa nalock kwa phone pattern nimejalibu kuingia imenigomea.Mala ya mwisho inaniomba ni sign in kwa google account nikiingiza account inanijibu ivalid user name or password naombeni...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Wadau nilikuwa naomba mnisaidie cz nimesahau password ya pc yng na kuna vitu muhimu nnavyovihitaji xo nilikuwa naomba msaada japo kunitajia programs za free zinazoweza kureset password ya...
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Msaada wakuu nashindwa kuelewa kipi kimeikumba hii laptop ukiiwasha inawasha taa ya kijani lakini cha kushangaza display haionyeshi kitu chochote jamani naombeni msaada wenu nifanyaje??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cm yangu nilikuwa nalock kwa phone pattern nimejalibu kuingia imenigomea.Mala ya mwisho inaniomba ni sign in kwa google account nikiingiza account inanijibu ivalid user name or password naombeni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa simu tajwa. Nilikuwa napata huduma ya internet kama kawaida lakini kwa sasa imekuwa vigumu. Ni baada ya kuibofya hapa na pale nahisi nimeboronga mahali. Kila nikijaribu...
0 Reactions
4 Replies
818 Views
A brief history on the invention of the telephone.. here is the link: HOW THE TELEPHONE WAS INVENTED - HOW SCIENCE
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Wataalam msaada ninahitaji kuinstall Netbotz rack monitor 570 datacenter lakini tatizo nilokutana nalo kila nnapoconnect sensor zangu hazionekani kwenye pod list tafadhali msaada kwa mwenye idea,
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Google realesed moto G for $179 w/out contract
0 Reactions
1 Replies
683 Views
nasikia hiki kitu kinawezekana wazee,nafanyaje????,nijuzeni wataalamu
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wadau msaada wenu naomba mnisaidie kupata chaneli za kituruki zaidi ya hizi za SES 5 at 5.0°E ambazo ni Samanyolu na TRT Türk,kama kuna angle nyingine naweza pata zaidi ya hizi naomba msaada wako.
0 Reactions
1 Replies
869 Views
tafadhalini sana wanajamvi wenzangu naomba yeyote aliye na window 8.0 anisaidie sana ili na mimi niuone ulimwengu mpya wa digital na kuondokana na hii analogue . Mashine yangu ni Dell E4300
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Wa2 wengi wamejitolea muda wao mwingi kuandika makala anuai kuhusu TING vs STARTIMES.Wa2 hao nawapongeza na kuwashukuru sana kwani maandishi yao yamenifanya na mimi ninunue decoder tajwa hapo...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
10. Wheel 9. Nail 8. Compass 7. Printing press 6. Combustive engine 5. Telephone 4. Bulb 3. Pencilin 2. Contraceptives 1. Internet network map --livescience.com Ongezea yako...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kampuni/biashara yao iko UK wanajihusisha na uuzaji wa eletronic products. Hii ndio WEBSITE YAO au HII HAPA Facebook anatumia jina la AMANDA EMILY Wanatumia malipo ya credit card hasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shehima zenu wakubwa!! Naomba mnisaidie simu yangu imegoma gafla WHATSAPP inanipa text kua natakiwa kulipia ndipo nipate huduma Nifahamisheni namna ya kulipia,,wapi ntafanya hayo malipo ili...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Google has announced the immediate release of the Nexus 5 smartphone, powered by Android 4.4 KitKat and the Snapdragon 800 SoC, available for just $350 or $400 off-contract (16GB and 32GB). The...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
TunnelGuru v2.5.0.0 -Very stable VPN -TAP driver updated to v9.9 Note:To install Open folder misc->driver-> install-RUN-AS-ADMINISTARTOR {Right click,Then Click Run as Administrator}. After...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Back
Top Bottom