Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jaman nashindwa kuunganisha net nimeenda had ofisi za makampun ya cm hapa MORO tatizo limeshindikana,nilijalibu kuhamisha vtu toka kwenye pc vinaingia kama file mfano miziki,inaonesha free space...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna chanel 14 zimeongezeka ghaflq kwenye kisimbusi cha continental sijui zimepotea njia au ndio wanaanza kuziongeza manake ni nzuri kiasi chake kwa movie ila hazina majina naona wanazungumza...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Naomba kuelekezwa namna ya kudownload na kuistall whatsapp kwenye simu yangu samsung galaxy
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Niliingia cafe kudownloal issue flani kuiweka tu kwenye computer kwanza kuingia ikagoma then imeanza ku-gandaganda mpaka kero. Natumia antivirus ya SMADAV naona yaani ahisaidii kabisa kila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima mbele Naomba msaada sim yangu tajwa hapo juu niliiweka mfukon kutoa ikawa imezima kuiwasha haiwaki nimeweka kwenye umeme usiku kucha bado haiwaki naomba msaada nifanyeje haijawahi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wana jamvi,...ningependa kujuzwa ni ving'amuzi gani ambavyo kwenye chanel zake naweza pata angalia Emanuel Tv(TB-Joshua) na baadhi ya Stesheni nyingine za Dini?.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku hizi, katika kila watu kumi wanaotumia mtandao, basi angalau watano kati ya hao wanatumia mitandao jamii. Kuna baadhi ya watu wamegeuza mitandao hii kuwa kama ni sehemu ya mawasiliano, ama ya...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Sony has put up an official video on its PlayStation channel on YouTube, unboxing the PlayStation 4 and showing the world what they’ll get in the box once it hits the shelves come this Friday...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hellow, wataalam nawezaje kupiga picha za bidhaa mbalimbali ili iwe rahisi kutoa background kwa photoshop. Kuna kamera ambazo unaweza ku dims background na kutoa only picha ya mbele? Mfano wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari zenu,kwa mtu aliye na activation codes za kaspersky antivirus 2013 naomba anitumie ili niweze ku activate kwenye pc.natanguliza shukrani wakuu
0 Reactions
0 Replies
602 Views
WanaJAMII nataka kununua TV sasa kuna mtu ameniambia ninunue SAMSUNG SERIES 5, 6 au 7 imeundwa na king`amuzi ndani yake (built in decorder). Sasa ile sehemu ya kuingiza SMARTCARD ile ADAPTOR...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Ndugu jamaa na marafiki habari za siku? Nadhani ni muda mrefu tokea nilipoandika uzi humu JF.Siku ya leo napenda nitoe somo kuhusu utumiaji wa software 3 ndogo, ambazo machoni mwa watu huoneka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jaman wadau habari zenu.. nilikua nashida na kifaa tajwa hapo juu kama kuna mtu anayo anaweza akanitafute tuelewane
0 Reactions
0 Replies
945 Views
nataka nibadilishe hard drive inabidi ni-install windows xp lakini computer inagoma ku-boot from CD ROM na nilishabadilisha kwenye boot menu kutoka HDD ili i boot from CD ROM lakini bado inagoma...
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Ni samsung galaxy s advance gt i9070. Inagoma kudownload application yoyote kwenye Google play. Internet iko sawa tu kwani natumia 3g. Na inabrowse vizuri tu. Tatizo lilianza juzi. Kwa kugoma...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari, ninatumia Nokia E75, kabla cjaiflash email zilikua zinaingia bla tatizo kama message za kawaida, ila baada ya kuiflash ni mpaka nisign in, then ni refresh ndo zinaingia. Ni usumbufu...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
kama kuna anaejua software inayoweza kuondoa vocal za nyimbo na kuacha beat tu naomba anisaidie, nahiitaji sana
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Hosanna Studio is one Stop for all your Web development with PHP. The IDE provided advanced code Editor for HTML, PHP, Javascript, XML and CSS. Its...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
msaada wadau,nimepiga picha kwa kutumia camera ya simu aina ya Blackberry curve 9380,baadhi zimegoma kufunguka wakati siku chache zilizopita zilikuwa zinafunguka. Nawezaje kuzi recover?
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Ndugu watalaam salam, Nimenunua laptop mpya HP 650,OS yake ni UBUNTU,Nimejaribu kuweka window 7 hisomi CD ila inazunguka tu kisha inafungua UBUNTU -Na nime set I Boot kutoka katika CD ila wapi...
0 Reactions
4 Replies
746 Views
Back
Top Bottom