Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa heshima ya njunwa wa mvoko post hii imefutwa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Connection setting for Browsing Internet using Nokia 5130c-2 XpressMusic in a TATA Docomo Network. Generally Internet connection not activated in any of the Gsm mobile. You need to request for...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NDugu wana jamii naombeni msaada jins ya kutumia headphone ambazo ni wireles ,je ntazikonect vp na simu yangu ambayo ni tecno 605 Ili niweze sikiliza redio na muzk pia
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman kwa anae jua jinsi ya kuapgred vision za android naombei mnisaidie kwa hilo Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
15 Replies
3K Views
msaada plz ninamodem ya airtel namba hapo juu nataka kuiunlock nitumie liine zote nimejaribu dc unlocker imegoma msaada plz
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu kuna jamaa hapa amefunga mtandao wa facebook hapa kambini eti kwa kigezo wanafunzi wasifungue website hiyo,,lakini website zingine zote zipo flesh sasa mi nataka niingie kidogo ....hakuna...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natumia samsung S2 nilikuwa na uwezo wa kudownload app. na kuangalia videos youtube. Ila kwa kipindi hiki wiki 2 sasa sina uwezo wa kudownload chochote wala kuangalia video online..msaadata tafadhari
0 Reactions
2 Replies
832 Views
wanajf nina gari langu aina ya surf cd yake niliipoteza na kwa mantiki hiyo sina ubavu wa kupata raha kupitia DVD/radio yake. hivyo naomba mwenye link ya kudownload hii kitu anisaidie. inaitwa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
model:k3565 Rev 2 HSDPA USB stick imei:356408030899970
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pata internet kutoka kwa pd proxy na unaweza kupata free internet ya 3 months kama uta jiunga kwenye premium.just go to www.pdproxy.com and you download and then yo will sign up for the...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
habar zenu wakuu? nimejaribu ku root techno m3 yangu kwa njia ya frameroot lakin imegoma naomba kwa anaejua njia nyingine ya ku root hii kitu anisaidie...:thumbup:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeamka kisha nikawaza, nikaona ingekua poa sana kama kungekua na app ya JF ya windows 8/8.1, ingependeza sana, iwe na features kama instant notifications, instant notifications za subscribed...
2 Reactions
4 Replies
960 Views
Nahitaji activation key za Microsoft Office 2013,kwa anayejua naomba aniwekee hapa,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cd na dvd haziplay kwenye DVD/CD Rom ya laptop yangu mwanzoni zilikuwa zinaplay lakini siku hizi nikiweka CD/DVD itazunguka sana kwa kasi then inastop, Naombeni msaada wenu
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Nina Huawei yangu haina play store, haina baadhi ya apps, nawezaji kuiformat na kuweka android ili niweze kuaccess play store na baadhi ya apps???
0 Reactions
4 Replies
876 Views
habari wakuu, mimi natumia window 8.1 N built 9600(not activated) tatizo ni kwamba tangu jana nina experience some difficulty matatizo nayokumbana nayo ni haya 1. nikifungua my computer inatumia...
0 Reactions
3 Replies
976 Views
Ni muhimu kuelewa sola ni nini na jinsi ina fanya kazi. Mwongozo zifuatazo zitamsaidia mtu ambaye anataka kununua vifaa vya sola kwa maarifa wa kuelewa masuala ya sola haraka. Na pia itakusaidia...
2 Reactions
27 Replies
16K Views
1. Apple 2. Google 3. Microsoft 4. IBM 5. Oracle 6. Qualcomm 7. Cisco 8. Intel 9. Sap 10. Tsmc -baslinemag.com
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Pc yangu imeshtuka mkanda nikiwasha haitoi mwanga
0 Reactions
3 Replies
884 Views
Habari wakuu!! Kama nilivyo tanguliza maelezi hapo juu. Kwa yeyote anaefahamu namna ya kurudisha software, na namna ya kupata black berry ID anisaidie kwani nimezifuta kwa bahatimbaya wakati...
0 Reactions
6 Replies
891 Views
Back
Top Bottom