Jamanan Kwa Jinsi ilivyo sasa hivi,
#simu Zitatengenezwa weee, Lakin Hamna Kipya Zaidi Ya #Touch-screen zaid zaid ni Differential In Internal features;
>mana 2metoka Kwenye
#Pressing-button...
Je waungwana kuna njia mbadala ya ku-unlock samsung s5300(android) imeji-lock baada ya kuingizwa alama za siri za uongo mara nyingi?
Simu inataka email na password ya Gmail ili ifinguke ila...
Mambo vipi?
wataalam nisaidieni mwenzenu!
kama kuna anayejua namna ya kutoonekana online kupitia whatsapp..yani hata nikiwa nachat .lets say nimeingia online saa 8am,ionekane hiyo hiyo kutwa...
Habari wakuu,
Nilikuwa na website yangu,nime host kenya.
Sasa nilitaka kujua na mna ya ku iweka kwenye major search engines kama google nk.
Na pia ushauri mwingine wowote wa kuifanya iwe more visible.
MSAADA KUINSTALL CUSTOM ROM
nimeroot simu yangu ila nmeshindwa kuinstall
Custom ROM. Nmetumia ROM manager ila simu
yangu haimo kwny list ya device supported. natumia
GALAXY ACE GT-S5830i
Salamu wadau..
naombeni mnisaidie kulitatua ili tatizo. Mi natumia Android phone version 2.3.6 kuaccess JF lakini sijadownload JF app. so natumia "touch site " sasa naface matatizo yafutayo :
1...
nahitaji kuipendezesha na mimi blog yangu kwa kuweka picha tofauti kama kivutio kwa watembeleaji na kuweka habari pamoja na picha yake unaweza kuniambia mkuu nifanyeje plz nahitaji kupata ushauri...
Salamu Wataalamu.
Ninatumia W7 na Browser ya Mozilla Fox.
Kwa miezi zaidi ya Sita iliyopita nilikuwa natumia Program ya Video Download Converter kupakuwa Vido kutoka Youtube na kuzihifadhi...
Wakuu eeeeh,ka-tecno p3 kangu whassup messenger yake inagoma kuwa updated,nikidownload hilo file la update likishamalizika linagoma kuwa installed na kiniletea ujumbe wa hyo title yng wakati kuna...
Habarin za kwenu wana jamvi!! naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kubadilisha VHS kuwa VCD, na kama inawezekana ni wapi hapa dar naweza nikapata hiyo huduma ...........
ukweli ni kwamba
Mpaka sasa hamna #Whatsapp inayo Run katika N73
japokuwa N-series nyngne zna Run whatsapp, siwez nikasema zina support mana hata N73 ina support ila hawa wa2 hawajaamua 2...
Chuo kikuu cha Buffalo nchini Marekani,kimefanya majaribio ya WiFi chini ya maji. Inawezekana?
WiFi inapatikana chini ya bahari Erie. Chuo kikuu cha Buffalo nchini Marekani,kilifanya majaribio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.