Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam wakuu, Naomba msaada wa sim unlock code ya hii kitu. IMEI: 862076012032055 Au mwenye kufahamu software tofauti na DC inayoweza kufungua hii simu. Heshima mbele wakuu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wenye phone za android vp kuhusu hii software je result zake ni credible??? phone yangu ni s3 lakini baada ya kufanya benchmark na other devices imekua ranked so low hata imezidiwa na device...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Jamani naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi ya mwisho.. katika facebook nimekutana na mwanamke wa kizungu yeye anafanya kuuza vifaa vya electronics, nataka kununua macbook pro kwa sh. USD...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bizarre Asteroid with Six Tails Spotted by Hubble Telescope (Photos) By by Megan Gannon, News Editor 16 hours ago...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Kuna hii website wana kila aina ya ala ya mziki ambayo unaweza ukaplay live kwenye pc yako na hata pia kurecord ulichokigonga kwenye ala husika. Pia hata kwa wasioplay vile vile in leisure time...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Leo naenda kununua kingamuzi~huku iringa hakuna star times digtek wala continental kwa hiyo nataka.ninunue Mediacom.je nitaona TBC star TV ITV eatv na channel ten?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hellow kuna hizi karatasi zinzitwa rag papers kwa kiswahili sijui zinzitwaje, naweza kuzipata stationery gani? asanteni kwa msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa nilinunua samsung galaxy s2 used , sasa ikajilock nilimpelekea fundi anisaidie kuifungua akasema ataiflash. Baada ya kumwachia hiyo simu , kaipoteza na badala yake kanilipa Samsung galaxy...
0 Reactions
4 Replies
952 Views
Natumia window 8. Nimesha download driver tayari laikin bado cjajua pakuanzia, nimesoma gogle saana lakin naona chenga tuu. Kama kuna mtu anamaelezo mazuri yakueleweka anisaidie nini chakufanya...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
habari zenu wana jukwaa, I hope you are all well! computer yangu ni aina ya hp 650, leo hii imepatwa na tatizo ambalo nimeshindwa kulielewa kabisa ndugu zangu! kila ninapotaka kuizima baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada nashindwa kukonect internet simu aina ya TTCL est 2288
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Ni miezi kama 8 sasa nchini tanzania tumejipatia njia mbadala ya huduma ya internet.haijalishi ulianza kupata huduma hii kwa shiling ngapi kwa mwezi.ila sasa utaweza kuipata huduma hii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jaman naomba msaada nina samsung yangu Duos C3312 ..! je inaweza ika-install whatsApp ..! naomba link ni download if possible!!
0 Reactions
1 Replies
521 Views
Pole na hongereni kwa majukumu, Naombeni msaada katika iPad two, kuna mfumo wa outomatic words correction, ni tatizo kutokana na maneno mengi ya kiswahili kutolingana na lugha iliyosetiwa...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
Wanajamii naomba msaada kama kuna njia yeyote ya kufanya kama ninatumia recever ya MEDIA COM kupata channel zaidi
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wana JF leo tumerelease version ya kwanza ya social networking yetu inayoitwa FRITYM ambayo imetengenezwa na sisi vijana wa kitanzania,tumetengeneza FRITYM kurahisisha usambazaji wa taarifa...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari, naomba msaada wa kuondoa frame kwenye kazi iliyochapwa kwenye word 2007; nimeweza but kuna vistali vya blue (broken lines) ambavyo vinatokea na kuwa kikwazo naomba msaada wa kuviondoa...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Kaeni chonjo wakuu hii ishakuwa noma Microsoft Security Advisory (2896666): Vulnerability in Microsoft Graphics Component Could Allow Remote Code Execution
0 Reactions
0 Replies
572 Views
.kwa wale watumiaji wa symbian hebu tpeane apps na tricks mbalimbali mana naona tmesahaulika.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Leaked Android 4.4 KitKat screenshots make the rounds - GSMArena.com news
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom