Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari wadau ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia upgrade keys za windows 7 stater kama unazo naomba uni PM
0 Reactions
0 Replies
581 Views
kuna rafik amenipigia simu kuitaj msaada tv yake inaonyesha rangi mbili ana wasiwasi mtoto alibonyeza remote ikawa hivo. mimi nimeshindwa kumsaidia. msaada wenu wakuu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kuna anayejua zinapouzwa simu tajwa hapo juu anijulishe Hata na bei kama inawezekana pamoja namba ya muuzaji if pocble.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf mimi npo mbeya nilikuwa nahitaj gari sasa hivi kuna usalama wowote endapo utatoe pesa yako kwa mtu usiyemjua wala kumuona pili lets say lmefika sasa may be dar port gharama ya...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Hili bonge la game nimelishusha jana nalicheza kwa sasa liko poa ni a GTA-like game ambapo you can play either as a law enforcer or as a gang member. Kushusha uwe na connection ambayo ni unlimited...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Naomba msaada jinsi ya kutatua ili tatizo kwani kuna jamaa yangu mwingine ana simu kama hii lakini naona inafanya kazi kama kawaida. Ina latest software, na ndo nimeinunua siku si nyingi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Facebook currently has 4 virus Attacks. These attacks can get your Facebook Account Hacked 1) :- If you get a notice of a PHOTO TAG Do not open it. 2) :- If you get a notification that a friend...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu Nina lumia 900 na nimekua nikijaribu kudownload java pasipo mafanikio,yaani nakutana na ambazo haziendani na Simi yangu,naomba msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kama ulikuwa hujui sasa chukua hiyo:A S 103:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
yaan nimenunua simu mpya ni android lakini leo ya saba tena lakini internet imegoma kabisa kufunguka yaan nikifungua tu internet inaniambia web page not available au mfano nikifungua program...
0 Reactions
2 Replies
854 Views
wanajamvi ! napata tatizo kila ninapo connect na wifi inaniambia limite(no internet access) ipi ni solution katika tatizo hilo. maana net ya hapa nilipo ni bure na wenzangu wanafaidi tu...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Naomba msaada wa CD ya Windows 8 Pro (au 8.1 Pro). Nahitaji tu OS, Key ninayo. Nipo Dar es Salaam kwa sasa.
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Wadau,naomba kujuzwa kama naweza kupata kioo cha samsung galaxy s4,maana leo simu yangu imedondoka,kioo kimepata nyufa lakini inapiga kazi vizuri,but show ya kioo imeharibika,so nahtaji ushauri,au...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nilikuwa katika kujaribu kuweka passcode kwa chanel ili vijana wawe na limit ya kuangalia baadhi ya chanel nimejikuta nimesahau hizo code. Je nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo.??
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani sisco phone (7945) ya ofisini kwangu haifanyi kazi,imeandika registering na haimalizi kuregister,msaada tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya utatuzi wa hili.​
0 Reactions
1 Replies
570 Views
habari wapendwa!! nilikuwa nauliza kampuni ya huawei wana wakala hapa tanzania na yupo sehemu gani!! natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
3K Views
habari zenuwa jf naomb msaada wa intrnet hii simu ni android version inatumia line 2 lakn kila nikifungua internet inakataa au sometimes inasema theres no sim card msaada tafadhal
0 Reactions
3 Replies
912 Views
Wakuu, nataka internet ya bei poa,nimekuwa natumia hizo internet za mitandao lakini zinazisumbua tu
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wale wapenzi wa Free Avast antivirus baadhi ya protection zimepunguzwa hadi hapo utakakapokuwa umeUpgrade from free to paid version. Yaani hawa jamaa wamekuwa kama vodacom na vifurushi vyao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wandugu nimechoka kupambana kuendelea kuitafuta software kwa zaidi ya siku tatu sasa maana kunawakati mtaalam mmoja aliitupia humu jamvini nikainyonya lakini ni muda mrefu sana simkumbuki...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Back
Top Bottom