Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Heshima mbele Naomba msaada kwa anayejua jinsi yakuondoa tatizo tajwa hapo juu bila kufanya rearm kwani nimeshafikia kiwango cha mwisho cha kurearm windows yangu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba suluhisho la tatizo kwenye laptop yangu ambapo kila nikiburn dvd au cd kwa ashampoo inaenda hadi mwisho na kuandika 'successful' lakin niki insert tena hiyo dvd inakuwa ni blank...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
simu yangu inagoma internet yaan kabisa haifunguki nahc tatzo lipo katika acces poit had nikii edit manually lakn nikifungua kwa web ili nii select aaf niaze ku browse internet cha kushangaza...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Kompyuta yangu imeanza kuniletea vituko vya aina aina. Iko slow sana, applications hazifunguki kwa haraka kama hapo awali. Kila mara ile alama ya 'hourglass' ya mouse inatokeza (meaning that there...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau habari zenu....naomba kujuzwa software itakayoniwezesha kupiga simu kwa kutumia line yangu iliyo kwenye modem coz natumia modem ninayotumia haina option ya kupiga wala kupokea simu but...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wakuu leo nilikuwa mitaa ya mtaa wa congo.. nimekuta samsung tab 2 kibao kwa bei ya mpaka elf 80 naomba kujua hizi simu ni orignal kweli?
0 Reactions
1 Replies
877 Views
wakuu naitaji iphone 4s ambayo haina michubuko na ni factory unlocked nina laki 4 cash...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
kuanzia kwny vifurush vya uongo mpk matangazo feki yani voda expo..m nlijua 2 kuna kaujanja katafanyika 2 kwani ckumuona m2 aliyenunua cmu yoyote ambayo ipo ktk discount list bali wa2 walinunua...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nina tumia nokia x2 nimedownload whatsapp ilaa nkiingza namba inanambia hivi 'Could not connect to server:certificate was issued by unrecognized entity'dah nimeshindwa cha kufanya
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Wakuu natanguliza shukran kwa yeyote ambaye ana best site 4 materials download including free books, notes,info etc.
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Nikiwa naitumia inachukua mda mrefuuu....... hata niwe natumia opera kudownload ndo sijawahi kabisa , maana mpaka chaji inaisha,nakuwa bado sijamaliza kudownload niko dar ila siamin kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi natumia receiver ya wiztech ila channel zimekata naombeni msaada kwa anayefahamu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chief Mkwawa na wadau wengine naomba mnipe msaada wenu katika hili. Ni kwa bahati mbaya sijawahi tumia smartphone yoyote but i think its is my time now. Kinacho nipa shida nashindwa kuelewa ni...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Natumaini ni wazima wa afya. Ninataka kununua smartphone inayotumia OS ya android. Naomba mnijuze ni ipi inapiga kazi vizuri ambayo nitapata good browsing experience. My budget ni 200,000 to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
There's this black screen that keeps popping up while I do my work, or anything on the computer, and it always appears after just a couple of minutes Tatizo nini na ninaweza kulisolve vipi
0 Reactions
1 Replies
848 Views
wanajamvi nahitaji kusikiliza radio online lakini nyingi nakuta ni recorded,nipeni maujanja tafadhali
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Wakuu nahitaji kununua laptop mini kwa ambae anajuwa wapi zinauzwa ama ambae anyo anauza naomba anitafute hapa 0778887388
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtaalamu wa masuala ya miamba. Kuna eneo nimepita porini karibu na msitu, nimeona mawe meupe mfano wa karatasi yapo kando ya kijimto kidogo na pia ndani ya maji ya hicho kimto kuna vichembe...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Naomba ajuae aniambie namna ya kubadili genereta yangu itumie gas(biogas) kuiendesha badala ya petrol.Asante
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom