Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
hellow experts, naombeni msaada juu ya hilo tatizo! natumia pc ikiwa na window7 as an OS. cha ajabu kila wakati nikiingia kwenye mtandao hasa jf nikifungua nyuzi zenye picha, mozilla ina crash...
0 Reactions
7 Replies
985 Views
Nahitaji GIF progress bar kama inayotumika kwenye Windows 8 * Iwe inaenda kama ile ya Windows (yani jinsi dot zinavyoachana na kukimbilia nyingine) * Animation speed iwe ya kawaida * Background...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni majuzi tu nimeingiza flash yangu kwa job-mate wangu hapa kazini kuchukua kazi fulani nilikuwa nahitaji, cha kushangaza nilipohamisha kwenye laptop yangu ni full kuona mafolder yote na mafile...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ninaweza kudesign hayo mabango lakini sijajua wapi nitaprint kwa hapa dar.. Ni wapi wanapo print mabango makubwa ya kutangaza biashara yako,kama hili hapa chini,,,na bei yake ni shilingi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa wale ndugu zangu ambao ni magames addict nadhani mko aware kwamba fifa 14 is out, so kwangu ni swali tuu nani anafifa 14 Pc Game, kama unayo naomba tuwasiliane. :thumbup:
0 Reactions
1 Replies
702 Views
nimmeupdate mozila and idm issue arises that it is not compartible with mozila.Please I need help on that.:help:
0 Reactions
4 Replies
826 Views
Samsung galaxy pocket comes in two colours black and white goes for 150000 prices are negotiatable check me thru 0719004668
0 Reactions
0 Replies
677 Views
wasalaam! Nimenunua kasimu kamchina,si unajua tena bajeti ngumu?...basi bwana haka kasimu kanaitwa Telenor,kanatumia android; nikwa nimeset unlock screen patten(sijui kama nimepatia hapa). Baada...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
wanajamvi.... leo nimepata kitu cha S3 hamu yote imeniisha baada ya kuambiwa natakiwa nikate line iweze kuingia... vp napata wasiwasi nisiwe nikawa nimeuziwa feki naomba ushauri kuhusu hili je ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nashindwa kuona list ya databases nilizotengeneza kwenye (ubuntu 12.0.1). lakini nikifungua kwa phpmyadmin naziona hizo databases zangu apokuwa nalog in kama root. I am getting the following...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Kichwa cha uzi chahusika.Nahitaji laptop mpya kwa matumizi ya shule.Specs zake ziwe angalau hizi au zaidi Processor kuanzia 2.0 Hdd kuanzia 500GB na kuendelea Ram kuanzia 2GB na kuendelea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajamvi; Guys naomba mnisaidie wapi ninaweza kununua STICKERS kwa ajili ya kubandika nyuma ya screen ya laptop yangu. Naombeni msaada wandugu!
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Niaje wakuu, Wakati na download software flani hivi (PC optimizer pro) nilijikuta nimedownload pia hii software inaitwa simple files. inafanya kazi kama torrent client lakini tofauti kuu ni kwamba...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi si mtihani. But have you ever wondered about the exact number of colours that a computer screen can display? Nani anajiskia kujibu hili?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu, nilikuwa nafanya setup ya FaceTime kwenye Iphone 4 yenye update version 7.0.3, cha ajabu kwenye select country sijaona Tanzania.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa wakuu juu ya kutambua original Scientific Calculator.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau wa jf naomba anayejua anifahamishe bei na feature za simu aina ya coolpad D539 vp inaendana na ulimwengu wa sasa
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Jamani simu yangu imeblock patterns naingiza email na pasword zinagoma ts samsung gallaxy pocket ur help please!!!!!!
0 Reactions
1 Replies
573 Views
jamani ehh computer yangu inafungu game lakini haipanuki full screen, dell latiyude e 5420 msaada wenyu waungwana.:A S 39::A S 39:
0 Reactions
0 Replies
481 Views
'Minicomputers' Live Inside the Human Brain By By Charles Q. Choi, LiveScience Contributor 19 hours ago...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Back
Top Bottom