Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nmeletewa pc mpya kutoka uk haiingiz chaj kwa betrii ake ilokuja nayo na nkiweka betrii nyngine inaingiza chaj pc n aina ya 'acer aspire', nmejarbu pia kubadlsha chaja cjafanikiwa na nmeinstall...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu nmecheki bei za toyota passo kwenye mtandao naona ni nzuri tu yan gar cc 998 na 1000 unapata kwa bei poa FOB 849-1200 sasa ushauri wenu unahitajika maana nilitaka kuchukua IST ila nimegairi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Niliweka ujumbe mm binafsi kutaka kununua mini laptop nashkuru wapo walionitafuta kwa hilo , ila pia wapo walionishauri nisinunue minilaptop na pia nmeona ujumbe wa user mwengine pia alipata...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
wanajamvi msaada ya technical specifications za samsung galaxy gt s5360 y ikiwepo ubora wake,matatizo yake na bei imesimamaje? Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawezaje kupata internet configuration settings za voda na tigo kwenye simu ya blackberry bila kwenda voda au tigo shop.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu habar,ninaomba msaada wenu kuhusu hili,nina dish la zuku ambapo juzi mafundi walikuja wakaezua paa hvyo kulitoa dish kutoka lilipokuwepo awali ,jana nikaamua kulirudsha ili niweze kuendelea...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Snakes the size of school buses? Horses the size of house cats? It happened before and could happen againBy Jay Busbee 14 hours ago...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
HABARI, Nilijaribu ku uprade iOS 4.1 to 4.2 ya iphone 3G lakini iligoma njiani,baada ya hapo imekaa kwenye recovery mode(kwa screen inaonyesha connect to itunes) nimejaribu ku i restore pia...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu habari za saa hizi....soon nataka kununua toyota bravis naomba kujuzwa kwa anaeijua kuhusu ulaji wa mafuta, spea, matengenezo na injini...nawasilisha.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada wa Product key ya MS Office 10. Unajua kiuchumi hatufanani ila kimahitaji tunaweza kufanana. Ukiamua kusaidia saidia tu. Hapa hata hivyo, tunaogopa zile product key za magumashi/ isiwe ya...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Problems The GAO report came up with a list of mobile vulnerabilities it says are common to all mobile platforms and it offered a number of possible fixes for the weaknesses. From the report...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Ee bwana habarini za asubuhi wana JF. Poleni kwa uchovu wa weekend. Mie Karucee bwana niliangusha Camera yangu aina ya Samsung Lens ikiwa open. Hapo hapo ika rest in pieces. Naomba kama kuna...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Nilikuwa napitiapitia data za SQL Server nikakuta kuna vitu viwili Release Name na Codename Microsoft SQL Server - Wikipedia, the free encyclopedia Kumbe hii version 10.5 codename yake ni...
1 Reactions
0 Replies
751 Views
KIUKWELI NINA SHIDA YA iyo prog.. bt cjui ntaipataje kwa urahisi na atakae nsaidia bas na mm ntampa sayansi yang kuhusiana na net na hakika wote tutanufaika:madgrin::becky::becky::becky:
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Natumia tishiba satelite c 850 Cpu:2.46ghz Ram:2gb Hdd:500gb 3i core. Lakin mlango wake n tatizo kwan nikiburn cd inatoka tupu. Nukiburn dvd inaburn alaf naweza edit pia japo cd hiyo unakuta sio...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Hallo, Nlikuwa nkitumia ESET NOD32 hapo kabla, jamaa aliyekuwa akiniuzia Licence akaja akasafiri. Kwa sasa nnatumia Microsoft security Essential. Lakini naona inaelemewa kwani nnafanya sana...
0 Reactions
5 Replies
966 Views
Mimi sielewi kabisaa, tutalaumu nani sasa. Wakati mataifa zingine zinasonga mbele kiteknolojia, sisi twalala tu. I have nevet heard of a single invention from Africa. If any, just follow it up and...
0 Reactions
3 Replies
825 Views
Naomba kwa anayejua setting za intanet kwa aina hiyo ya simu, maana net kuna muda inapatikana vizuri, kuna muda inapotea kabisa. Msaada kwa anaejua kuunganisha kwa mtandao wa voda
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aisee wakuu kwa yoyote ambaye alishaiangalia hii series us kikorea aniambie naweza ipata vp coz nishahangaika sna kwa mwny link pliiz anipstie
0 Reactions
3 Replies
642 Views
Cm yangu htc A8181 Imefungu accont ya Gmail Lkn cha ajabu haijajitengeneza Play store.ipo ile ile martket km Haijafunguliwa account Plz naomba msada juu ya hili Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Back
Top Bottom