Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
HELLO! natafuta PRO anaejua ku-Jail Break PS3, ili niwe na uwezo wa kusave Cracked Games kwenye HDD yangu ya PS3
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Want to hear some cool stats behind GNS3? GNS3 was created as a university project The software has been downloaded nearly 10,000,000 times Over 75% of our users are training for Professional or...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Camera yangu aina ya SONY leo imeniharikia. Inawaka na kuzima kama vile betri imekufa na hii imesababisha lens imestuck haimove in-out kama ilivyokuwa mwanzo. Tafadhali kama kuna kuna mtu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu, nahtaji kusave charge kwenye simu yangu, kwa kudisconnect internet package, tatizo ni kwamba inajiconnect automatically after 5 second. Msaada katika hili.
1 Reactions
3 Replies
721 Views
heshima kwenu wanajamvi natumia simu ya lg p970 ila changamoto kubwa niliyokutana na simu hii ni kutokubali kuonyesha salio(*102#), pamoja na menu za tigo pesa, airtel money, m pesa, nmb mobile...
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Natafuta printer yenye uwezo wa kuprint kwenye DVD/CD na DVD duplicator mashine . Kwa anayejua naweza pata wapi kwa bei nafuu au mwenye navyo hata kama vimetumika kidogo ila bei iwe nzuri...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Wadau kwa aliye na kaspersky 2013 antivirus activation codes anisaidie ili ni activate kwene pc yangu
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Habari wana JF,mim nina nokia E7-00 inanisumbua charge coz kila charge ninayotest inasema your usb cable unsupported hata kwenye computer haitaki...so najitokeza kwenu kupata ufafanuz....1...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
1. The Morris worm In 1998 Robert Morris, a university student, unleashed a worm which affected 10 per cent of all the computers connected to the internet (at the time the net was estimated to...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Jinsi ya kutuma files kutoka kwenye PC kwenda kwenye iPhone, files kama vitabu, slides nk.... Kila nikijaribu kutuma kawaida km kwenye simu nyingine inakataa!! Je, na kufanya hivi pia kunahitaji...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Habari wana JF, naomba msaada kutoka kwa yeyote anaejua, ni Receivers gani za FTA (free to air) ni imara na zinafungua chanel nyingi ili ninunue maana naanza kujiandaa na December 31. Naomba kwa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wadau naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inajizima na kwaka dakika chache baada ya kuanza kutumia internet. Hilo tatizo limeanza jana haikua hivyo mwanza.Naomba msaada kufix tatizo hilo.
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Whois 2.7.2 Description File Size: 480 KB Last update: 5/30/11 Whois Tool is a client utility that communicates with WHOIS servers located around the world to obtain domain...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
offer offer offer offer offer offer kama unatumia tunnelguru jipatie akaunti ambayo iko loaded 30days unlimited kwa siku 30 kwa shiling 6000/=tu .cheki 0688148836 ofa hii ni kuanzia 14/11 had 18/11
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau ninatumia Windows 8 kwenye HP ENVY dv4 Core i5 lakini mafaili hayo niliyoyataja yanazidi kuongezeka ukubwa hivyo kula nafasi kwenye drive C. Hiberfil.sys limefika 6GB na pagefile.sys...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Wadau ninatumia Windows 8 kwenye HP ENVY dv4 Core i5 lakini mafaili hayo niliyoyataja yanazidi kuongezeka ukubwa hivyo kula nafasi kwenye drive C. Hiberfil.sys limefika 6GB na pagefile.sys...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Baada ya usumbufu wa muda mrefu wa kuipata tbc1,sasa ipo live bila chenga.unachotakiwa kufanya ni kuingiza frequeny 3892-v-3072.huna haja ya kuuchekecha ungo wako kama unazinasa chanel zingine...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Week 2 zilizopita nilihamia Airtel for 2 reasons 1. Hakatwi mtu hapa 2. 3.75G internet speed Tangu nianze kutumia internet ninachokipata is simply a disappointment. Unaweza download 10mb za...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
INFORMATION SECURITY TRAINING Prepared and Provided by Twiga Hosting Ltd: The information security training provider in Tanzania. Do you know how you can identify the information you...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Back
Top Bottom