Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salam Wakuu! Kupitia jukwaa hili naomba kwa yoyote mwenye KEY za AVG Antivirus 2013 pamoja na AVG PC Tuneup. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Wakuu nimeistal softwara ya nokia phoenix service lakin kila nikijaribu kuifungua inaleta hii message " please install nokia dongle' nimejaribu kugoogle sijaipata! Mwenye kujua njia ya kusovu ilo...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Salam kwenu mandugu,nina laptop yangu huwa nikidownload document inakubali,lakini nikidownload video huwa hainiletei window ya kusave au kuwatch later..nilimtafuta it flani akaniwekea IBM lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu eeh,naombeni mnijuze,hivi hizi NISSAN SERENA spare parts zake zinaingiliana na za Toyota Liteace Noah manake nazipenda hzi Serena ila sijui upatikanaji wake wa spea zake ukoje na hata bei...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Jamani habari zenu? Wakubwa wenye maujanja ya satellite dishes, nawaomba mnielimishe: 1) Kuhusu frequencies na symbol rate za Citizen tv ya Kenya, na namna ya kuifunga pale kwenye dish la futi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ingia kwenye link hiyo down - Infinisource - Workforce Management, Benefits Administration, Payroll Software & COBRA Administration
0 Reactions
2 Replies
897 Views
wadau nina simu samsung s advancemwanzini ilikuwa inafanya kazi vizuri tu.mara ikaanza kuingiza chaji kwa shida unaweza chomeka chaji.mara inachaji mara haichaji.pia ikawa inatoa taarifa ya...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Fuata njia zifuatazo hapo down 1... Go to "administrative tools" in the control panel.. 2... In the "services" list, disable the IMAPI CD-Burning COM service just test is good
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu naombeni msaada wenu kwani nilijaribu kuchukua mara ya kwanza pdf alafu baada ya muda ikawa kila niiifungua inanidai kodi, ikabidi niifute,,,,.sasa kila nikiitafuta ili ni download siioni...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Nina tablet yangu Dell streak 7 inaniambia (The process android.process.acore has stopped unexpectedly.please try again) kila baada ya sekunde chache.. Nikisema ni reset factory settings inakubali...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Naomben msaada kwa anaejua jinsi ya kublock facebook account,sababu nai-block lakin nikijaribu ku-log in inakua active.!
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Jamani naomba msaada. Nina satellite dish futi 5 na LNB model 666 naomba kama mtu anajua ni katika namba gani LNB ifikie kwenye namba ipi ukilinganisha na ile round ya dish I mean up od down kwa...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Msaada mwenye motherboard ya hp nx6110, anivutie waya kwenye 0658040571
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Jamani kwa msaada wa wenzangu wale mnaotumia simu za nokia s40,ambapo mmejaribu kuinstall whatsapp na ikawa inafail,ni kwamba njia nyingine ni hii hapa. 1.uwe na memory card 2.s40 phone...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Nina nokia asha 200 lakini ukienda kucheki movie kwenye youtube hakuna response yoyote Naomba msaada kwa anayejua, Nawasilisha.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
I hope we should comment on this new website.. TOVUTI KUU YA SERIKALI: Welcome
0 Reactions
15 Replies
2K Views
How to upgrade the new account to G1/G2/G1+Before i proceed on explaining how you can upgrade using the new tool, let me quickly mention important prerequisite to this upgrade process: You need...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu! Nina modem lakini nataka itumie laini zote,nifanyeje?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Wakuu,naomba kujua top 10 best market places ambazo waweza lipa na paypal 1.eBay Karibuni mm naijua moja tu
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Salamu zenu wote! Jamani naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu kuanzia leo inajizima na kujiwasha yenyewe sielewi tatizo ni nini naombeni msaada. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom