Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
kwa wale wanotumia dongle za AZSKY G1, G1+ au A+ account zine expire rasmi leo mchana kwaio ukuiona yako haifanyi kazi jiandae kununua account mpya.... nitakujulisheni zitauzwa kiasi gani ni jinsi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninatumia ka blackberry kangu niliweka service ya mwezi tokea 28.07.13 cha ajabu ilivyofika tarehe 24.8 wakakata nikareport tatzo kwao tokea siku hiyo wananiambia wanashughulikia tatzo kila...
0 Reactions
5 Replies
962 Views
Habari Wadau. Kampuni ya Kitanzania ya Rasello imefanya maajabu kwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Kampuni bora inayochipukia yaani StartUp. Ewe Mtanzania mwenzangu onyesha...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Wadau, Nimeletewa hii kitu ya Tab. Sasa nataka kuanza kula vitu vya JF but Ndo hivyo tena mambo ya tigoweb yamenishinda. Please help
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu swali kama linavyosomeka hapo juu ninetengeneza blog lakini nikiisachi kwenye google siipati. Naomba maelekezo yenu ili ipatikane ktk search engine asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, nina very special card kwa ajili ya Video editind na 3D modeling and animation. kadi yenyewe ni Indvidia Quadro Fx 1100 Mimi nahitaji Geoforce yoyote kuanzia 8500 Au...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
creation ya android apps kwa matumizi unayohitaji kikazi ama binafsi pia theme za android kwa kuweka picha ama icons uzipendazo,kwa alie interested anshtue.....
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Msaada tafadhali mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie. Nafungua WhatsApp kwenye tecno n3 inaleta ujumbe huu Adjust your date. ilihali saa,tarehe na GMT Vipo sahihi. natakiwa kufanya nini...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
'Space Slinky' Erupts from Giant Black Hole Like Dislike...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Niinbox me nko Morogoro,,,,nimepata mahela ya mafao so nataka cm quality zaid
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Fill your Home screens with the best widgets for Android
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nisaidieni, kwani na kwama hasa kuingiza tarakimu km *150*00# km *148*01# km *149*99# hata baadaye kuongeza *2#, * au # yaani ninachofanya ni kuitoa cheap na kuingizia kwenye simu (Mobile...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
On this occasion I will share Tricks Increase Internet speed , but before you apply, I would like to stress that all sorts of tricks / tips on increasing internet speed is not everything went...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habar wakuu nsaidien site nzur ya kudownload gamess
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Specs; DD-WRT Pre-Installed. VPN Compatible. Unlock HULU/NETFLIX/POPFLIX/PANDORA/SPOTIFY/BBC iPLAYER ect Plag & Play, No Set up required. Works good with your Smart TV(e.g YOUTUBE) Wi fi up to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Thread Deleted
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Ni ukweli usiofichika kuwa, katika dunia ya leo, zaidi ya nusu ya vijana wa Kitanzania wanaotumia Internet, basi hutumia Facebook. Tumeona matukio kadhaa ya watu kudhalilishwa na wengi kuamua hata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu yangu huawei ascend nashindwa ku install app zaidi wala ku update. nikiingia play store ina download mpaka 100% halafu inaandika installing.Ina jumla ya applications 107.available memory...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Wadau, Naomba msaada wa hiyo program Microsoft Encarta....kila ninapo-google, nakuta ipo na website zingine kv cnet, softonic nk ambapo ukifungua link, ni kama nashindwa kukuta direct link ya...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
kwanza natanguliza heshima kwenu wakuu. wakuu naomba msaada wenu napata tabu sana .shida yangu ni kuwa ninaredio sasa kunasehem huku nimehamia nahisi umeme ni kidogo sababu ikifika usiku tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom