Jamani wana jf simu yangu imechezewa na mtu na sasa maelezo yote ni kwa kifaransa sio kwa kiingereza natamani kuirudishia kiingereza nimeshindwa lkn kuna namna niliwahi kuambiwa kuwa kuna namba za...
Kwa wale wanaotumia huduma ya Internet ya voda kwa Ipad watakubaliana nami Vodacom baada ya kuleta mpango wa kununua internet bundle kwa rafiki yako ulisaidia sana kununuzi kwenye Ipads.
Ajabu kwa...
Wakuu natumia hyo kitu lumia 520 ila nikijaribu kufungua hotspot lwa kupitia settng thn internet sharing inaandik service is currently unavailable sasa msaada wenu maana nahtaji sana hii huduma.
Ninatumia Iphone 4, imeanza kusumbua keys za row ya chini hazikubali kabisa, ingawa ili button ya kui-unloch ulislide inafanya kazi, wenye mautaalamu yenu naomba msaada, tatizo hapa ni software au...
kama wewe ni mpenzi wa game za magari na unapenda kucheza online kushindana na other racers wa nchi mbalimbali download hili game katika pc yako need for speed world ucheze for free lina...
habar wadau,ndugu naombeni msaada kuna movies nilizidownload kwenye PC yangu bt nashindwa zifuta nikitaka kufuta inaandika THE ACTION CAN'T BE COMPLETED BECAUSE THE FILE IS OPEN IN WINDOW...
Natafuta CPU Brand sio tatizo sana
Ram iwe 2gb
DUo Core
VGA indvidia Kuanzia 9600(nuhimu sana)
HDD 160
Rom dvd cd writer
Offer yangu ni 140,000
mwenye nayo kesho tufanye biashara
habari za jioni wana jammi forum wenzangu.natumai mu wazima kwa wale wagonjwa MUNGU atawasadia na mtarudi katika hali ya kawaida..leo nina tatizo moja tu kuhusu masafa/frequency za star tv, tbc1...
Salaam wanandugu! Ni swali tu ili kuhakikisha na mimi laptop yangu ipo sawa na inaenda na wakati,unadhani ni programs gani muhimu kuwa nazo kwenye laptop!?
Increase Ur Internet Speed Up To 200%...No Software...Inside Trick
Believe Me Inafanya kazi ...Juz Take 2 Min....
Haya Wanajamii ... Maujanja haya hapa Chini
So That You Can:
Aah Kidogo...
Wakubwa kwa wadogo habari zenu, Naombeni mnisaidie Nimeformat simu tajwa hapo juu kwa kutumia Code hizi 7370. Sasa imepatwa na tatizo la kuzima pale ninapopiga au kupigiwa simu na chaji iko full...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.