wanajamv, naomba mnjuze ni samsung ip ambayo ina 3g ,wifi,kamera ya kuanzia megapixel tano,yenye flashlight na kioo cha wastan ,pia iwe na keypad cio tach.pia bei nataka nami kuhamia 7amsung nione...
Wakuu naomba mnisaidie hapa.....kwa nini nashindwa kutuma sms kwenda kwenye baadhi ya namba za Vodacom kutokea mtandao wangu #1 wa Airtel? Nimeshajaribu kuwapigia watu wa huduma kwa wateja mara...
Habari wana jf nina pc aina ya dell inspiron N5030 SPECIFICATION NI HD 320GB Processor dual core 2.3GB na RAM 1.0GM ina tatiza la display driver yaani nikiwa na process always in internet huwa ina...
Habari zenu wakuu?
i really need your help. I am planning to take Microsoft certification MCSE 2012 which will have 5 exams. Do you think its worth taking? Is there any scope in our country for...
Habari wakuu,
Ndugu zangu nina simu yangu aina ya BlackBerry 9800 ambayo nilisafiri kidogo nikaiacha bila kuchomoa betri. Niliporudi nimeikuta simu haiwaki wala haichaji zaidi unawaka taa...
Attention;
" The temperature is lower than the operating temperature of the phone, functionality is limited"
Simu yangu huwa inani-alert hivyo sometimes temperature high naomba wataalamu mnijuze...
Wakuu juzi nilitoka kutumia wajanja nyt...then jana nikajaribu kuunga bundle..linatumika vizuri kwenye simu lakini kwenye modem haikubali kabisa kuconnect... Haiandiki kama kuna error imetokea au...
naomba msaada wenu wadau wa jf, natumia sim ya samsung galaxy s4, nibonyeza *#0000# kwa lengo la kujua tarehe ambayo sim imetengenezwa, cha ajabu lugha imebadilika kwenye system nzima ya sim...
Kuna rafiki yangu anahitaji kununua mashine ya kuprint t-shirt na vitambaa..zenye uwezo wa kuprint picha kwenye t-shirt za rangi
ila hajui zinapatikana wapi maana tumetafuta Mwanza hazipo..pia...
Nina flash ya 16gb kingston. Ninapo-save au ku-copy folders inapokea vizuri na unafungua mafaili yaliyomo kwenye folder husika. Ukii-remove na kuipeleka kwenye pc nyingine inabaki na folders ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.