Naomba kama kuna aliye na keys za hili game anisaidie nime lidownload kumbe halina keys nimeshindwa liinstall maana process inahitaji keys kwanza nahurumia muda wangu nilio haribu kushusha hizi GBs
Wakuu kwa wale wanaopata tabu kuactivate windows 8, kwa Crack/Patch below is genuine way for activations and gain all windows 8 features including Personalization
* Open up command prompt as...
Wanabodi natanguliza salam.
Mimi nina tablet ya Samsung galaxy 7.1 tatizo hivi karibuni imeanza kuwa ina Stuck na kuzimika pasipo sababu ambazo ni Logical kama charge kuwa empty au vinginevyo...
Nawapongeza hawa jamaa kwa kutuletea 3g huku Tarime ambapo siku chache zilizopita 3g yenye Hsdpa ya Tritel (T) Ltd iliingia Tarime na kwa vile hatuna SIM Card zake tulikuwa tunafanya roaming kwa...
Poleni kwa kazi..
Wakuu niko kwenye mchakato wa kupata laptop siku sio nyingi ila naombeni kujuzwa ni application zipi ambazo ni basics mie kuwa nazo.
Kwa mfano najua browser kama mozila...
Kwa wakazi wa kanda ya ziwa na watumiaji wa satelite dishes, nawajulisha Star tv wamerudi hewani ghafla kuanzia leo jioni.
Frequency ni zilezile 3886 V symbol rate 4900
muendelee kuchungulia!
Najaribu kuweka page yenye picha, ila mwishoni wa page kuna kitu kama hiki kinatokea, je hiki kinatokaje?
hapo juu ni picha ambayo imekaa vizuri, na nyingine nyingi juu yake ila hiyo mistari ndo...
Habari za jioni/usiku wakuu Nilinunua simu ya Android ya ideos mda kidogo hapa Dar nimeshaifanyia kila aina ya customization rooting, roming kila kitu now naombeni msaada kidogo wakunieleza sehemu...
Please naomba kwa yeyote anayeweza niwekea hapa link ninapoweza pata very simple tutorial ya login and reg. System ambayo itakuwa na 4 au 5 access levels..Inaweza kuwa hv: level0-guest...
siku hizi kuna site zimeanzishwa kama hii http://visitprofit.com , http://thepaidtask.com na n.k they claim to pay via PayPay, Cheque, Western Union, WireTransfer , if you advertise there link...
Habari zenu wanabodi.
Natumia Sumsung Duos, Tatizo ni kwamba, napata alert ya "message memory full".
Nimeangalia available space (SD card) ni 3.68GB, ila system storage ni 17MB.
Nime...
naitaji kununua mashine ya photocopy ila mi sio mtaalamu sana wa ivi vitu naomc wenye kujua wanielekeze ni nunua mashine ya campuni gani na yenye uwezo gani naitaji ya kawaida tu black copys
Kwa mjibu wa wikipedia 2009,10 largest global Software companies ilikuwa ni:
Microsoft
IBM
Oracle Corporation
Accenture
Google
Yahoo
HP
Symantec
Capgemini
Computer Sciences Corporation
Back to...
Je unahitaji Website? Kama unadhani unahitaji Website personal or Business sasa ondoa shaka. Tutakutengenezea Website for free. For more information PM me!
The virtual memory support in Windows uses a system pagefile to swap pages of memory to disk when they are not used. When Windows is running, this pagefile is opened exclusively by the operating...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.