Wandugu kama kuna mtu anajua jinsi ya kuongeza OS (operating systeam) ya simu hasa android devices anisaidie mana nimeckia kufanya hyo ki2 inawezekana japo cjampata mtaalam hata...
Kwa wale Wanachama wenzangu Mujihadhari na ujumbe huu fake
(ACCOUNT CLOSE ALERT !‏‏) Watakuambia Eti u Active account yako ya hotmail.com wana dai Eti
usipo active itafungwa hawa...
Wakuu,
Naomba msaada juu ya hilo sababu natumia nokia e71 ila nimekuwa nikipata shida wakati nikitumia browser ya Opera mini{ama zote zile za kudownload like Ucbrowser yaani sio hallisi katika...
Sony experia P,ile inbuilt whatsapp icon imetoka,haipo kabisaa,najaribu kudownload upya kwa playstore inaleta msg that an error occured in brackets(403)...cjajua wanamaanisha!nifanyeje niweze...
wapendwa, habari za siku nyingi.
kwa sasa niko dar na katika kujiweka sawa na mambo ya mtandao nikanunua modem ya tigo ya kutumia kwenye laptop yangu. ila cha kwa kweli sijaifurahia huduma hii...
Hello PHP GURU,
we all know that php is an Open Source, but doesn't mean that every open source is a free software.There are lot of encryption methods which can be done to the PHP codes, please...
Wadau heshima kwenu!
Nimenunua tecno p3 ikiwa na external memory 8gb tatizo nkidownload app kubwa na kuisave kwenye external,internal inajaa pia,nlishafuta v2 vingi bt still warning remain the...
Kwa wale wenye ujuzi na torrents.... seeders and leechers zinamaanisha nini na zina kazi gani katika torrent file..... maana kuna torrent moja nimekuta watu wanalaumu kuhusu leechers and seeders...
Wanajamvi shida yangu ni kwamba modem yangu niliichakachua na kuifanya itumie laini zote na zaidi natumia Metfone 3g sofware kukonect. Na kwa bahati nzuri hii soft. ina call feature, ila tatizo ni...
Habari ndugu zangu wana Jf,naomba msaada wenu simu yangu Nokia X2-01 nikiingia ovi store nikadownload kitu inaandika "no valid certificate" na pia ovi browser inaandika hivyo lakini mwanzo simu...
Ndg wanajamvi salaam, kwa wiki hii nzima nimepata meseji ambayo siielewi kutoka 15453, nanukuu; "GeoPoll: Udjibu ndiyo kua itshika mawulizo 4 geopoll kua ku saidiya umodja wa taifa lengo. Ushiriki...
If you don't already have a copy of MusicMatch Jukebox, download one from musicmatch.com. The "Plus" version has more features and burns CDs faster, but the free version works just fine for...
Habari ndugu zangu.
Nina miliki simu HTC One X, ni simu nzuri sana. Pamoja na uzuri wake, simu hii haikai sana na chaji hivyo nataka kubadili betri. Simu hii HTC One X ukiitazama vibaya unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.