Habari zenu wadau me nauliza size gan ya dish unaweza tumia kufunga hii satellite? Vp kuhusu dish la futi sita unaweza set vp kuipata hii satellite? Badr6
hakuna tena kubeba charger hapo simu yenyewe inahjitosheleza japo ni mchina na haitokaa ikanyage bongo
simu hii kwa kweli imenifurahisha nikaona nifanye kushare na nyinyi
kwa habari za electronics...
hello there! Nime install windows7 kwenye macbook2,1 inafanyakazi fresh but tatizo ninaloliexperinece sasa hivi sauti haitoki je kuna mtu yeyet anaeweza kunipatia soution ya hii ktu tafadhali.:Cry:
Salam wakuu,
Kwa muda wa wiki chache zilizopita nilikua nafatilia articles kadhaa na kuangalia documentaries mbali mbali kuhusu hili swala la conspiracy theories. It has been said kwamba in this...
Habari wana JF.
Awali nilikuwa natumia Tecno N3 nikaiuza, then nikanunua Tecno P3, nayo nimeiuza kwavile zote zimeshindwa kukidhi mahitaji yangu kutokana na matumizi yangu hususani kwenye MEMORY...
Habari zenu wanajamii ninatumaini muwazima nimefanikiwa kununua Backberry ila kiukweli sijawahi kutumia haswa kwenye upande wa hii wanaita BBM sijui massanger ninaomba msaada wa kujiunga na...
How a Sea Squirt Could Help You Grow New LimbsBy COLUMN by LEE DYE | ABC News Sun, Aug 25, 2013 12:38 AM EDT
ABC News - How a Sea Squirt Could Help You Grow New Limbs (ABC News)...
Heshima kwenu wakuu. Kwa mwenye kufahamu, kuna tatizo gani kwenye hizi channels mana mimi natumia Satelite dish ila toka juzi hazionekani. Kuna mwenzangu anatumia star times naye amesema hazioni..
WAPENDWA WANA JF KUNA KUKAGULIWA NA MATENGENEZO YA VIFAA VYA SONY BURE,UTALIPIA VIPURI TU.
Offer hii ni kwa vifaa vilivyonunuliwa ndani ya kipindi cha miaka mitano (5) tu.
Vifaa...
Naomba msaada wanaJF mnisaidie najalibu kuinstall Total Video Converter kwenye laptop Samsung: Rating:1.0 Windows Experience Index
Processor:Intel(R) Celeron(R) CPU B820 @ 1.7GHz 1.70 GHz
Intalled...
Kuna thread iliwahi letwa hapa barazan kuwa waweza kuangalia startimes bila kulipia!!NAOMBA KWA ANAYEJUA HATUA ZA KUPITA HILI NAMI NIWEZE KUANGALIA BURE...!NIMEFIKIA MAAMUZ HAYA BAADA YA...
Natumia simu ya motorola mb860. ila kwa sasa simu hii ina tatizo ktk kutach. kuna wakati inakubali na kuna wakat inagoma. Na ukiandka sms huwa inajicontrol pasipo mimi kutach heruf yeyote. msaada...
hawa jamaa wako fast net yao si kawaida, kama unashusha mzigo movie ya mb700 haimalizi 10minutes ila cost zao zimechangamka kwelikweli... kama kuna mtu anajua kuhack kidogo tupate window ya...
Wasalaam,
Jamani naombeni msaada modem yangu ni univesary aina ya HSDPA 7.2Mbps inatatizo la kuji-disconect kila mara.natumia mtandao wa voda.naombeni msaada jinsi ya kutatua tatizo hili.nakosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.