Week end Hii wengi tulizikosa Eatv, Itv,capital kupitia Satelote Dish zetu
Leo asubuh Nlikua na Nmetulia home nikaona nivema nitumie my time kucheza na Dish maana nlibakiwa na chanel za...
Please kwa yeyote mwenye kitabu cha PHP AND MYSQL kinaitwa Begininig PHP and MYSQL E-Commerce From NOvice to Professional-Third Edition: Mimi nina Second Edition ambayo ina lack vitu flani...
Wanajamvi samahani naomba kupata shule juu ya haya;
1. ni nani upanga kwamba labda mwaka huu uwe na mwezi february wenye siku 28 au 29?
2. halafu ni nani au kwanini tarehe ubadilika saa sita...
Jamani habari zenu,
Nina simu ya samsung kama nilivyiotaja hapo juu, simu hii ina shida mbili, kwanza Play Store hai load kabisa kila mara inasema hakuna internet connection wakati mitandao...
Wadau naomba msaada wa kupata application ya whatsapp kwenye simu yangu aina ya TECNO T731(android), kwani kila nikijaribu zinagoma kudownload.
Natarajia msaada wenu
:A S-fire1: OK KWA WAKAZI WA DODOMA WOTE NINA ONGANISHA INTERNET BURE KWENYE SIMU ZOTE ZA ANDROID BEI NI NAFUU KWA MAWASILIANO CHECK ME ON 0653 600565
:A S-fire1:PIA TUNAUNGANISHA FREE INTERNET...
Naomba kama kuna mtu yuko karibu na Vodacom anifikishie ujumbe kwamba mtandao wao sasa unazidi kukera wateja.
Nimeweka pesa muda mfupi uliopita na kununua bundle ya Tsh 4200 kwa ajili ya kupiga...
Habari wakubwa
Nawaombeni msaada niko na simu aina ya HTC desere S hii simu inanisumbua sana inajizima na kujiwasha wenyewe na inapojiwasha inanipa ujumbe huu:-
"Your phone has just recovered...
heshima kwako mkuu unayepita kuiangalia thread hii,. . .pc yangu ni hp pavillion dv 6700,tatizo lake ni kwamba webcam yake haionekani katika devices and printers,nadhani tatizo ni kwamba inamiss...
habari ndugu mwana jf,nina tatizo dogo ambalo linanishnda kulitatua,ni kwamba nimeinstall window 8 katka pc,sasa shda ni kwamba maandish bdo makubwa kiasi kwamba pc haivutii kabisa,nahisi tatizo...
Hawa jamaa Sahara media sijui ni utaalamu umewapiga chenga hata ccn, aljazeera, bbc, emmanuel tv, msbn, Reuters, ktv-Kenya na chaneli hata moja ya wanyama wameshindwa kuweka kwenye kingamuzi chao...
wajameni wanaotumia AZSKY g1 zenye bulb1 na 2 acount zao zita expire usiku wa tarehe 31 mwezi huu. new accounts tyr zishatoka ila hapa kwe2 hazijafika ila zikifika tutakujulisheni. zitakuepo za...
Apple wanatarajiwa kutoa operating sysytem mpya ya IOS 7 mnamo Septemba 10 kwa ajili ya bidhaa zao.
Tetesi hizi zimetokana na screenshot iliyochukuliwa kutoka kwenye barua-pepe kutoka kwa...
Simu ya Google Nexus 4 iliyotengenezwa na kampuni ya LG imeshuswha bei.
Kampuni ya Google imeshusha bei ya simu hiyo ya Nexus 4, kwa wengi hii inaashiria uwezekano wa kuwepo kwa uzinduzi wa simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.