Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Tarehe 28 mwezi kampuni ya apple itaachia kitu kipya kabsa cha iphone 5s
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Kwa wale fellow gamers, hii website ya www.skidrowgames.net naona imetisha haswaa katika tasnia nzima yakutuwekea pc games nyingi tena ambazo zipo cracked. Aisee hawa jamaa wana...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
natumia window 8, dell D620... nikitumia moderm ya tigo na voda zinafanya kazi. lakini moderm ya airtel na ttcl zinagoma! Msaada tafadhari..tatzo laweza kua nn? Na solution ni nn?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakubwa Nawaombeni msaada niko na simu aina ya HTC desere S hii simu inanisumbua sana inajizima na kujiwasha wenyewe na inapojiwasha inanipa ujumbe huu:- "Your phone has just recovered...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Naombeni kujua output ya hilo swali.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau ninatatizo nataka nirushe net (wireless) iliniweze kudownload vitu kwenye mobile phone via WIFI sema tatizo nikitumia njia ya ad hoc nikitaka ku enable internet connection sharing inaniambia...
0 Reactions
5 Replies
949 Views
Nowdays watu wengi sana wanatumia simu zenye android OS, na andoid kuna very funny apps, sasa tunaweza share humu ili atakaependa kudownload afanye hivyo, mfano wa hizo apps ni kama mirror 4u-...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natengeneza professional websites, static and dynamic. nafanya domain name registration na web hosting. gharama zangu ni nafuu sana. Kwa information zaidi nipigie 0758 717754
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Wakuu ninahitaji msaada wa kupata software hiyo ili niigawe hard disk ya computer yangu mwenye kujua nitaipataje ya free anisaidie tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu za majukumu, Nilikuwa cafe si mda nikakuta ka system knakuhesabia mda na mda ulipofika kakata mawasiliano na screen ikaingia screen saver ambayo uwezi kuitoa. Nikaona basi sio vibaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumai mu wazima kwa yeyote ambae ana tatizo nampa pole. Huwa nasikia watu wakizifia computer zao kwa kudownload haraka. Unakuta mtu kudownload file la 1GB haoni tatizo. Mambo ni tofauti kwangu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau ​Naombeni utundu wa kuzuia copying data kwenye pdf na kwenye blog
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hellow JF members. Today am going to teach you how to boost you internet speed to the maximum. I heard so many people suffering for having slow internet in spite of having a large amount of...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
msaada wakuu nitawezaje kuongeza speed ya kudownload kwenye computer yangu angalau transfar rate kwenye idm ifikie 1Mbps up to 2Mbps,kwa sasa spidi yake ni ndogo sana hiyo hapo chini........
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimejifunza fl studio na kiasi flani nimeanza kujua kutengeneza muziki ila tatizo niliyonayo ni demo hivyo siwezi ku save biti, nimejaribu ku google nakutana na za kulipia, naomba mwenye link...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu wa tech nisaidieni kwenye settings za hii simu maana nlikuwa natumia internet bila shida,ila sasa hivi imegoma,nimewasiliana na airtel customer care ila bado.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wataalamu wa teknolojia nisaidieni. DVD Player yangu siku hizi haisomi flash. Badala ya kudisplay content ya flash inaandika "SMART UPDRADE, READ" halafu inaandika tena "STOP". Ni tatizo gani hili...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
simu ni used na ipo katika hali nzuri na inaambatanishwa na vifaa vyake, yaani charger na Usb cable. Ni-check kwa 0716300091 au ni-pm
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Habar wana jf? Samahan wakuu naomba msaada ninatumia iphone 3gs tatizo lake kubwa ni NETwOK. Kwa kifup haisomi mtandao msaada jaman.
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Ni hp ambapo mwanzo ilikuwa na window 7 baada ya kuanza kugoma kwa kuandika expired certificate ikawekewa xp. Tatizo likaendelea kwa kugoma kufungua fb na yahoo inaandika hakuna trusted...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom