Wataalamu naomba msaada simu yangu ya tecno niliweka chaji nikiwa nimeizima nimeitoa nikaiwasha huwa natumia password nashangaa nikiingiza naambiwa wrong passwad ni tecno cha zamani tu tecno...
jamani eeehh ,msaada kwa mwenye activation keys au product keys za windows 7 proffessional naziomba.. au kwa anayejua wapi naweza kuzipata naombeni msaada..tafadhali..
Msaada msaada msaada.
Nina modem yangu ya zte ambayo niliifanyia debranding. Shida yangu nataka kuifanya hii modem iwe ina ji-start yenyewe badala ya mimi kui-start manually (plug & play)...
steve ballmer aka crazy dude ceo ambaye yupo tofauti na ceo wengine wote duniani ametuma email kuwa ndani ya miezi 12 ijayo ataachia ngazi na kupisha wengine. tofauti na ma-ceo wengine ballmer...
Jamani nimenunua tv samsung led hii tv bila ya king'amuzi kwa antena tu inashika channel 21 za bure bt zilizopo ni channel 117 zingine ni bad signal naulizia ni wapi ntapata receiver ya ya...
please my fellow Tanzanians and others help me on how can i get a scholarship in applied mathematics and computational science.+255754934273 or ykowa@yahoo.com
from heading wadau naomba kusaidiwa wap ntapata kin'gamuz ambacho kinaonyesha al jazeera sports na gharama zake zinakwendaje including gharama ya dish, receiver, and malipo yake kwa mwaka or mwez...
Hiyo kitu counter zimeisha ba ndugu
modem huawei e3131,imei;862733015127064,
unlock code nck 5496671, flash code spk48593989 hizo
swali ntawezaje reset counter na kupata unlock code mpya
The 2 Easy Ways to Make Your PC Run Like New
One of the most frustrating things in life is a slow computer.
Every few years, we buy an expensive new PC and love how fast it starts up, runs...
Habari zenu wana JF. Mimi ni mmoja wa wapenda Teknolojia wa sasa, katika mizunguko yangu online nikakutana na habari ambayo nilipoifuatilia ilinibidi kushare na nyie. Ingawa wengi wenu mnaweza...
Kwa wale wadau wanaopenda kudevelop web apps na phone apps, I am also an upcoming developer I'm gud especially in simle languages ka vile javascript, css and HTML .. Nilikuwa nataka nianze...
Wakuu kama heading inavyoonesha naomba mwenye uelewa jinsi ISP anavyo fanya kuni Disconnect kutoka Internet hasa hasa mabasi haya mawili?
Na je ni mechanism ipi anaitumia kunichomoa ISP huyu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.