Habarini wakuu,
Modem yangu ya Airtel MF 190 ZTE inakataa kuconnect kwenye internet.Inasema ''The modem(or other connecting device) is already in use or is not configured properly". Nime...
Nimedownload gta iv niem insstall na ku i crack, lakini ina tatizo nikicheza baada ya dakika 5 inaanza shake. Nilipo tafuta chanzo via google nikaja gundua kuwa rockstar wametumia hiyo kama njia...
Kwa muda sasa Mozilla wamekuwa wakifanya jitihada kutoka na operating system yao, mpaka sasa tayari modeli mbili za simu zimeshatoka, ambapo ya kwanza ilikuwa ZTE open ambayo ilianza kupatikana...
Dear wakuu wa jf !
I would like to know if anyone has tried in receving money via MONEY-BOOKERS au PAYPAL ?
or Wire-Transfer ? (how is it done?)
Plz share your guidance !
Dear JF IT Gurus,
Anyone with idea and experience on how to set up an online payment platform in Tanzania. I want to have, say a website where people can register a course and pay for course...
I was recently requested to write as a guest blogger on one of Kenya's top web design / development company Skyline Design (SKYLINE FILMS AND TV (KENYA) LIMITED - (OFFICIAL) HOME PAGE), i agreed...
Habarini wanajamvi, ninatumia macbook pro ambayo ni pre-installed na MAC OS X 10.8 (Mountain Lion) na ninatumia simu kama modem kwa ajili ya kutumia internet. Tatizo ni kwamba, kila napotaka...
Ndugu zangu baada ya kuzichanga sana nimeamua kununua gari double cabin kwa kujiandaa kustaafu. Katika pita pita yangu nimeona gari aina hiyo kutoka uingereza likiuzwa£7,995. Naomba kujua...
* 11% of people are left handed
* August has the highest percentage of births
* lemon contain more sugar than strawberries
* honey is the only natural food which never goes off
* in east africa...
Ni Blackbelly curve yangu..!first tyme nilikuwa natumia mtandao wa vodacom kwenye internet!!but now natumia tigo! ila ile 3G YA Vodacom bado inazingua pale juu.aitaki kuja EDGe,Nimejaribu...
Natumai mu wazima kwa
yeyote ambae ana tatizo
nampa pole. Huwa nasikia
watu wakizifia computer
zao kwa kudownload
haraka. Unakuta mtu
kudownload file la 1GB
haoni tatizo. Mambo ni
tofauti...
Ninahitaji kununua dish'Eurostar inch 6' ili kufurahia huduma ya digital bila malipo, je linafaa au kuna aina nyingine nzur zaid? Pia niangalie vitu gan bora kwenye receiver na lnb?
program hii imeanzishwa na facebook akishirikiana na nokia, samsung, mediatek, ericson, opera na qualcom ni kuhakikisha kwamba theluthi mbili ya watu wasio na internet wanaipata.
mipango yao...
Wakuu niaje?samahan natatizo katika pc yangu ya Acer...nikiwasha switch power,inawaka mwanga wa blue nakuzima hivyo hivyo,halafu kale kataa kaliko karibu naram ndan yaboard kanawaka nakuzima...
nimekuwa nikifuatilia sana additional features za haya magame mawili kwa muda kidogo ila stil bado naendelea kuamini kwamba pes hana chake mbele ya fifa,hasa ukizingatia ujio wa ps 4 na x box one...
Salam wakuu, laptop yangu juzi ilicorupt ikabd ninunue low-end lap nyingine (toshiba satellite c660-15N). Iko fresh kimtndo, tatizo ni pale napo download HD movies (1080p blueray), ukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.