Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana jf laptop yangu aina ya toshiba sattelite c850 imegoma keyboard baadhi ya keys sa nahitaji kureplace naulizia wanapoziuza maana sitaki kutumia external keyboards
0 Reactions
3 Replies
1K Views
http://youtu.be/KSpvw5PbMj8
0 Reactions
0 Replies
622 Views
heshima mbele wakuu. nilikua najaribu ku restore window iliyokuwepo mwanzoni kwenye DELL D270 kwa kutumia Acer eRecovery Management but restore system kila ikifika kwenye 99% ina stuck kwa mda wa...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Habari waungwana wa JF. Ningependa kujuzwa kutoka kwa mwenye ujuzi wa hili. Awali nilikuwa Dodoma na nilikuwa natumia King'amuzi cha StarTimes, sasa nimehamia Ifakara, Kilombero, Morogoro...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Paste this into Notepad and save it as Welcome.vbs CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"Welcome to your computer!" CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"Enjoy!" When saved press the windows...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Salamu kwenu ndugu wanajamvi, nina simu black berry z10 nimeletewa na mtu toka nairobi ila ni nyepesi sana nimejaribu google specification zake nkaona camera na internal storage n sawa sawa na ya...
0 Reactions
5 Replies
998 Views
Wadau naomba mnisaidie kwa anaye jua kuhusu software ya Vat Return,Napata tatizo wakati wa kuistall hii software kwa baadhi ya Computer lakini sio zote nyingine zinakubali,nafanya procedure zote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
POLENI NA KAZI ya ku-elimisha jamii, nina USB drive angu ilikuwa na data zangu sasa nikiweka kwenye Computer inakuwa Haionekani. sasa nisadieni je? nifanye nini ilinipate data zangu
0 Reactions
6 Replies
884 Views
Je hii namba 0682 895 839 ni ya mtandao gani Tanzania? Je mmiliki wake naweza kumjua vipi? Je watu kama hawa (matapeli) hatua gani huchukuliwa (na kampuni ya simu husika; au TCRA) kama...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Hellow guys.. Owkey tayari nina VPN service kwa iyo naweza ku access this website. Tatizo langu linakuja pale kwenye kucreate Account kuna Box ya kujaza ZIP/postal code, asa me sijui hata format...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Incredible Technology: How Atom Smashers Work Like Dislike Edit content preferences Done Tanya Lewis, Staff Writer...
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Ninatumia Toshiba Satellite L800. Wakati nainunua ilikuwa inaadjust brightness kwa kuhold FN na F2/F3 keys vizuri tu. Lakini nilipoi-reformat hai-adjust brightness tena ispokuwa operation nyingine...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
natumia sony vaio na os ya window 8takriban kipindi cha miezi tisa nyuma computer yangu ilianza tabia ya kujorestart ghafla mara tu unapoishawa baadae ikaja ikakaa sawa then ikaanza tatizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi, nahitaji kutengenezesha vitambulisho(identity card) vya kazi. Naomba kujuzwa anapopatikana designer tafadhali. Ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada mwenye kujua,mtoto wangu alichezea decorder yangu ya DSTV sasa channel zinakatakata, Nimekwenda pale kwenye settings nimekuta inasomeka UHF 46 na Frequency ni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu naomben mnipe zile namba za kuchakachua startimes nimezisahau K24 siipati tena
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Wakuu naomba nifahamishwe namna gani nitaipata internet ya simu kwenye kompyuta. Simu yangu nia aina ya LG KF510, mtandao ninaoutumia ni ZAIN.
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Habari wana jamvi nina simu yangu aina ya HTC 7 Morzat ambayo ni window phone tatizo lililopo ni kuwa siwezi kutumia huduma za 1 M-pesa,tigo pesa,airtel money na easy pesa 2 siwezi kupata...
0 Reactions
6 Replies
951 Views
Hivi mfano unapokuta cm inaitwa samsung galaxy s3 tena samsung galaxy s3 clone AU samsung galaxy s3 mini afu samsung galaxy s3 mini clone tofauti zake ni nini??
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nahitaji hii simu wakuu.. Inapatikana wapi hapa dar.? Na bei zake sh.ngapi.?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom