Habari.
Tokea swala la kila kampuni kuanza kutengeneza wanazoziita smartphone (kwa upeo wangu mdogo ningesema mwanzilishi akiwa apple, ktk iphone 2007) ambazo nyingi zao ni touch screen with few...
Heshima mbele wakuu,
nnahitaji print kazi yangu hapa,
lakin katika setup zangu kwenye kipengengele cha Header/Footer inagoma kupokea character zaidi ya 250,
wakati kuna kazi hapa ina character...
Nimekwenda ofisi za Airtel pamoja na line yangu kukatwa imegoma ku operate 3G, simu naweza kupiga na kupokea, wakajaribu badala ya 3G kuweka EDGE lakini lakini ikagoma, nimeenda Tigo wao wameweka...
habari za miangaiko wakuu?
Nauliza chuo gani kinatoa mafunzo ya utengenezaji wa simu za mkononi especially smartphone's (hardware & software), napenda sana kupata ufahamu wa hii kitu kwa faida yangu.
- Press window key + r, to open run command and write Notepad
-Then copy and paste the following code
X50!P%@AP
[4\PZX54(P^)7CC)7}$EICAR-STANDARD-ANTIVIRUS-TEST-FILE!$H+H*
-Then press CTRL + S to...
Baada ya kukamilisha mafundisho ya Joomla, nimekuwa nikipokea barua pepe nyingi sana toka kwa watu ambao wamekuwa wakiniuliza juu ya template gani bora, kiendelezo gani bora na mengineyo. Ingawa...
Wazee mimi natumia jamii forums app(adroid). Natumia kwenye simu ya Samsung galaxy S4.
Ila muda mwingi sana huwa napata hiyo error hapo juu. Nikipata hiyo error website ya JF ina hang kwa muda...
Wanduggu msaada jamani nifanyeje TECNO N3 Internal storage iko full hadi inakuwa nzito bt Memory Card free space 7.5 GB, ,,, nifanyeje baadhi ya progs/data zihamie kweny Memory card,!!??? msaada...
Heshima mbele wakuu, natumaini muwazima. Wakuu natamani na napenda kuwa mahiri katika hii issue, lakini ndio ivyo elimu yangu hairuhusu kwa sababu nimeishia kidato cha nne na nipo kwenye field...
Kampuni ya BlackBerry ipo hoi, huenda ikauzwa
Shirika la habari la Reuters limeripoti siku ya
Jumatatu ya wiki hii kuwa iliyowahi kuwa ya
kwanza kabisa kutoa simu za kisasa 'smart
phones' na...
Wadau nimejaribu kufungua website ya OUT na avast anti virus imeblock na kuniarifu kuwa imezuia Trojan virus.
Kama kuna mdau atusaidie na nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia ubuntu ila baadae...
Habarini ndugu wana jamvi,
Mimi nina line yangu ua voda kuna mtu amenihulk na ana uwezo wa kusoma txt zangu za putbox ninazotuma kwa watu na watu wanazo nitumia(inbox) msaada ndugu niwezo kutoka...
katika pitapita zangu kwenye http://www.gsmarena.com nimekutana na screen protections kama
1- Corning Gorilla Glass
2- Scratch-resistant glass
na pia brand kubwa kama iPhone, HTC, Asus...
How to use windows 7 without activation or windows 7 free activation
If you don't have windows key or don't wan to buy it than Windows 7 free activation or using it without activation is...
A new Linux ‪Trojan‬, on sale now in underground cybercrime communities, threatens the usual malware-free lifestyle of ‪Linux‬ users. 'Hand of Thief' can steal information...
wakati microsoft wanatengeneza kinetic watu wengi waliiponda na kuiona ni useless na kwamba haitafanikiwa. kinetic ni aina ya sensor inatumika kwenye xbox one na pia imekua integrated kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.