Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kwa nini hii ant virus inapendwa na makampuni na tasisi nyingi hapa Tanzania na wakati mara nyingi kwa upande wangu naona inafanya mashine inakuwa nzito saana na...
habari wana jf hivi kuna usalama wa accnt yangu ya benk endapo nikitoa hizi info zangu kwa paypal i want to buy vitu kupitia ebay ,,,kwsababu nilisikiaga kuna uwezekano wa kuhack accnt ya mtu...
The Pirate Bay has always been a target for governments and institutions that abhor, well, piracy. And, just as sure as the sun rises in the morning, there will always be arguments for both sides...
Vipi wazee habari zenyu bhanaa;;nauliza hivi nimesikia kuna simu za tecno ambazo zipo kwenye range zatecno d4 , ka yupo anaetumia au alie wahi kuona atiririke
ndgu wanajamvi kuna rafiki yangu alisafiri kwenda nje ya nchi akaniletea zawadi ya Tv Singsung LED ya Singapore inch 25 akaniambia ni nzuri pia ni imara, lakini watu wng wanasema Singsung ni sio...
Kwa heshima na tahadhima nawashukuruni kwa msaada wenu wa kuniwezesha ku UNLOCK HUAWEI MODEM E303s-2. PERMANENTLY. NOW I'M FREEE WITH TEHAMA.
MUNGU AWABARIKI NYOTE :smile-big: :smile-big:
wakuu mambo vipi? nimenunua dish, nimeshalifunga, sasa naitaji mtu wa kunifanyia setting dekoda yangu i mean kuniwekea freq na mambo mengine..... niko mbeya block T
Habar wana JF
Samahan wakuu mm sio mtaalaam sana wa maswala haya ya IT nilikuwa napenda kuuliza JE NINI UMUHIMU wa kuweka BACK UP kwny computer?
Msaada tafadhal..........
Wakuu naomba mnisaidie
tunatumia command gani kuscan flash yenye virus?
Kuna flash yangu ilikuwa na virus yaani ilikuwa na mafile ila yalikuwa hayaonekani yalikuwa yanatokea kama shortcut ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.