Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada tafadhali. Je ni site/njia ipi salama inakubali malipo Toka Paypal ili ku_diposite katika Perfect Money Account. Nawasilisha kwenu wana JF. :help::help:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau kama swali linavyojieleza hapo juu. Kuna email muhimu nimeifuta kwa bahati mbaya mpaka ktk trash box nako niliifuta. sasa naihitaji na sina namna ya kuipata kwa aliyeituma. Msaada wenu wakuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu wanajamvi, Nahitaji kurudi darasani siku zijazo kwaajili ya masomo ya ict na lengo langu kuu ni kwenda kujifunza hasa namna ya kumeneji network. Kutokana na muda kuwa mdogo...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa aliye Tatar asemeeee
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Apple Will Announce Its Next iPhone on September 10By Steve Kovach | Business Insider – 8/10/2013 Email 4 Print RELATED QUOTES Symbol Price Change AAPL 454.45 -6.56 AP...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wife ana suzuki swift la 2004, taa ya EPS kwenye dashboard mara ya pili inagoma kuzima mpaka aendeshe kwa kilomita kadhaa azime na kuwasha tena ndio inazima. Sielewi hii taa ya EPS inamaana gani...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
wakubwa msahada ninawezaje kutengeneza username na password za cproy free
0 Reactions
0 Replies
840 Views
YLOD ( Yellow light of death ) ps3 yangu inagoma kuwaka ina hilo tatizo je nifanyeje ?
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Ni decorder gani kati za ting, zuku, digitek, continental, star times na easy tv ambayo ni nzuri sana yenye channel za kuonyesha mpira hasa ligi ya uingereza. Na pia naomba price za kila moja na...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
nahitaji link yakuweza kupata oldschool za hiphop,rnb na flashback
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimerudi likizo home. nimekuta mdingi kaweka dish lile jeusi kama wavu wavu hivi (sijui ni futi ngapi ila ni kubwa) alishauriwa na fundi aweke kila chumba kingamuzi (akanunua vinne vimeandikwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Muda sio mrefu kumekuwa na link moja facebook yenye picha chafu za ngono ambayo unaweza kuta imewekwa na rafiki yako na ukajiuliza kwa nn aweke.. hii ni spam ambayo hacker wame spread kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wandugu nimeuliza hv ili tujuzane coz hzo system dizain ka znapotea hv kwa sababu ya droid na ios kwa kiwango fulani. Nakumbuka cm nying za nokia nizotumia ndo zlkuaga na java au symbian.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau nimejaribu kufungua website ya OUT na avast anti virus imeblock na kuniarifu kuwa imezuia Trojan virus. Kama kuna mdau atusaidie na nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia ubuntu ila baadae...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Natumia Toshiba Laptop, kuna software inaitwa PC health monitor inatabiri HDD yangu aina ya Toshiba itakuja kuaribika au kufa. Sasa kitu ambacho kinanichanganya hii HDD naiona inamendeleo mazuri...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
hello members, need some help on how i can link or watch tv apart from thoz of foreign on the android phone, your views worth...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa jinsi gani? ya kui unlock simu ya itel 350 kwa kutumia google maana data zote zipo ktk simu hiyo.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Natanguliza shukrani wakuu.. Naombeni mnisaidie isome laini zote wakuu najua mnaweza hakuna lishindikanalo jf .
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu! Naombeni nijue kuhusu masuala ya programming je yana chance gani ya kujiajiri au kuajiriwa tanzania? Na je kwa huku tunakoelekea hali yake itaendelea kuwaje? Meaning...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wana jamvi natafuta kioo cha laptop dell inspirion N4010 ambaYe anaweza nisaidia anipe bei na anapatikana wapi....
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom