Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimekuwa nikitumia IDM ku-download sasa muda wa siku 30 umeniishia nami ninahitaji sana kuitumia.Naomba yeyeto mwenye SERIAL NUMBER anisaidie
0 Reactions
15 Replies
3K Views
i cn fix all errors in ur bb,such as 552 and 507.....and i cn solve only software problem:.......
0 Reactions
12 Replies
957 Views
Habari wakuu, natumia simu ya Sony Ericsson Xperia arc na kila nikijaribu kutumia camera napata ujumbe huu "Unfortunately, camera has stopped". Naomba msaada wa kutatua tatizo hili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa wapi naweza kudownload window 8 yenye permanent activation
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Wadau naomba mwenye link ya kudownload iso burster full version maana nimegoogle imeshindikana kupata yenye keys au hata kama kuna software nyingine yenye kufanya kazi sawa na iso burster maana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natumia blackberry sasa kila siku najiunga vifurushi vya vodacom kawaida na pia na vifurushi vya blackberry sasa huwa zile bundle za cheka huwa zinapotea bure,kama kuna njia za kufanikisha hili...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Sumsung wanacopy na kupaste technology kutoka Apple. kupigwa marufuku marekani Japan Germany na nchi zingine kibao.mwenye details zaidi...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
wadau naombeni mnijuze kitaalam zaidi maana ninataka kununua.. Natanguliza shukrani!
0 Reactions
0 Replies
907 Views
wakuu nilkuwa natumia modem ya zamani ya zantel aina ya Huawei ambayo siyo sild na laini yake. Wakuu je kuna maujuzi ya kuichakachua itumie laini nyingine...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
kuna gari aina ya carina TI ukiwasha haisomi kilometer kwenye dash board ila gauge ya mafuta inasomeka vizuri tu, je tatizi ni nini? niliwahi kuipeleka garage nikaambiwa ninunue dash board mpya...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Wadau, Naomba kuuliza kati ya Laptops zifuatazo ipi nzuri? Kwani nina jamaa yangu yuko Ulaya na ninataka nimuagizie laptop mojawapo, hivyo naomba ushauri kuhusu ipi nzuri kati ya: 1. Toshiba 2...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Imagine una account ngapi online na security unatakiwa kuwa na password tofauti kwa kila account unayokuwa nayo! lazima usahau, nime compile tatu hapa zote zina Plan za Free zinaweza kukusaidi...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Katika pita pita zangu nimeiona mashine hii, nikaipenda ila nikaona niwaulize wataalam humu. 1. Ni upi uwezo wake katika video editing? 2. Je, mzigo huu naweza kuupata Dar? 3. Ni upi wastani wa...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Msaada wenu wataalam, nahitaji photo printer multfunctional ambayo haitakuwa na gharama kubwa. Nataka itayoweza kuprint kuanzia stamp size photos to 8.5 photos. Pia itayoweza kuprint cd! Pia iwe...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
je,hii simu ni nzuri?.maanake nataka kuinunua..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Kwenye fb account yangu nili-enable security code kwa kutumia namba ya simu. Sasa machine imekuwa formated kwahiyo browser ni mpya na siwezi log in fb mpaka nitumiwe code yao, shida ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habarini za majukumu ya kifamilia na kitaifa. Mwenzenu nimekuwa nikihangaika namna ya kupata Brother Cartridge Refill Powder kwa ajili ya printer zangu. Shida ni kwamba Cartridge za hawa...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Kampuni ya microsoft iko mbio kuakikisha mpaka mwakani watumiaji wa windows XP OS watakuwa wameupgrade to windows 8 kwan mpaka sasa kuna 37.7 percent ya wanaotumia windows xp kote dunian...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
WAKUU MI NNA PICHA MBALIMBALI ZIKIWEMO NA RAMANI ZA VIEW ZA NYUMBA NNAYOTEGEMEA KUJENGA NMEDOWNLOAD FROM INTERNET HAPA ILA NIMEJARIBU KILA NJIA KUZIKUZA SIZE ILI NIWEZE KUZIONA FRESH KWENYE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jamvi nina tatizo la kigugumizi cha mikono kwenye suala la typing, kuna jamaa yangu ameniambia nitafute program moja inaitwa typing master. naomba kwa wenye ufahamu na hili wanisaidie
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Back
Top Bottom