KUNA TABLET ZA XTOUCH NIMEONA JAMAA MMOJA KAISHIKA JAPO SIKUWEZA KUONGEA NAE ILA NIMEZIPENDA SANA JE KWA DAR DUKA LAO LIKO WAPII PIA KUNA MTU HUMU NDAN ANATUMIA AU ASHAWAHI KUTUMIA ATUPE MAUJANJA...
Najaribu kutengeneza DeviceAdmin app kwa kutumia sample codes za android sdk. Nikiwa na launch hiyo application napata error activitynotfoundexception: unable to find activity...
Ubishi mkubwa umeibuka hapa nilipo wadau kuhusu mada hii:
ku crack/ un lock moderm ni kosa au sio kosa?
kama ni kosa nipe sababu kama sio kosa pia nipe sababu.
habar wakuu cmu yangu ya tecno tv20 naona ka nimemix programme so nimeamua ku restore factory default lkn ckumbuk password je nifanje nn wakuu?nahitaj msaada wenu plz
natumia strong receiver SRT 4620 tatizo sipat star tv na wamebadili satellite ,frequence na mengine naomba uelewesho na jinsi ya kupata mana ntaifanya mi io kazi,naomba mwongozo
Mambo vp?msaada tafadhari CD imegoma kutoka kwani mashine hii ya gateway haina eject kwenye upande wa CD Rom,nainategemea keyboard yake yenye eject sasa kwa bahati mbaya alienipa aliishapoteza...
naomba msaada kuhusu namna ya kufanya configuration za internet kwenye i-pad yangu ambayo inatumia line kama simu, ninatumia mtandao wa airtel nimesha jaribu kuomba setting kwa kutuma neno all...
Nashindwa kuelewa jamani ni jinsi gani printer huDetect rangi za za wino. Je kuna chembechembe fulani za electron ndani ya wino au ni nini. Pia nilipoongeza wino kwenye cartridge mbona computer...
Wakuu nina simu yangu aina ya motorola model namba MB 860. Simu hii mara ya kwanza ilikuwa haina matatizo yeyote. Lakini kwa sasa betri yake haikai na chaji kwa muda mrefu, na nikiiweka chaji...
Communication barrier! Nimejaribu kumpigia mtu nimekutana na kioja hiki. Kwamba simu yangu haiwezi unganishwa kwani nimpigiaye hana salio. Huu mtindo upo nchi za wenzetu, lakini hapa kwetu...
Njia za kuongeza battery life of your windows laptop na hata UPS..
1.Reduce Screen Brightness
2.Make your display turnoff automatically..
3.Disable Bluetooth and other hardware devices
4.Tweak...
Habari wapendwa. Nime renew line ya Tigo baada ya awali kupotea, niliambiwa nitarudishwa hewani baada ya masaa ma4 lakini mpaka sasa yamepita masaa kumi haijawa hewani. Msaada tafadhali. kwa...
Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza.
Dashboard hii ukii-run itaingia...
Kwa wapenz wa tecn jamaa wametoa modernization ya tecno p3, na kuamua kuja na L series.
Simu hii ambayo imetoka mwishon mwa mwez wa saba(july 24), imekuja na vitu kadhaa ambavyo vinaitofautisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.