Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu heshima iwe kwenu, tafadhalini sana naomba kwa anayefahamu jinsi ya ku-unlock hii simu aina ya DELL ili itumie mitandao ya huku kwetu anisaidie simu hii nimeletewa na uncle kutoka Usa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu Natumaini wote mmesherekea siku kuu kwa amani na upendo, Wadau nina ombi kuhusu blackberry yangu 8520 inatatizo la kuplay video kwenye youtube hasa kwenye line ya tigo na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wataalamu, naomba msaada, mimi ninatumia dish bado katika kupata matangazo ya TBC1, TBC1 haipatikani. Naomba mwenye kujua frequency anisaidie kama kuna mabadiliko. SHUKRANI.
0 Reactions
23 Replies
6K Views
mara nyingi huwa naformat kwa njia yakawaida au naenda pale kwnye desktop~my computer~right click~manage~disc management~natafuta dsc ya ile memory e.g H then naright click~format. Hivi ndivyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natarajia kufanya biashara ya stationary mwanzoni mwa mwaka 2014 mwenye ufahamu wa bei za vitu muhimu kama photocopy machine,printer, na vingine anambie!
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Hello Jf naomba anayefahamu jinsi ya kutumia simu iwe kama modem anijuze mimi na members wengine. Nawasilisha
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Naomba kama kuna mtu anayejua jinsi ya kulink google wallet na benki za Tanzania . Maana najaribu kutumia VISA ya CRDB ila inakataa kujoin....
0 Reactions
1 Replies
8K Views
wakuu TBC1 wamebadili frequence,zimeanza kutumika august 09,2013, kwa bahati mbaya sijazipata bado so naomba mnijulishe kwa wanazozifaham
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Nigependelea kujua ving'amuzi vya Bakhresa vinatoka lini
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninatumia toshiba, mwanzoni nilikuwa natumia safi tu kwenye skype na voice recorder. Tatizo limekuja skype na voice recorder hazifanyi kazi tena kutokana na kukosekana kwa driver ya microphone...
0 Reactions
3 Replies
985 Views
ofa hii ya Eid inapatikana hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/501756-jipatie-pd-proxy-premium-account.html Karibu Sana
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ingawa hackers wana njia nyingi za kuingia kwenye network lakini ni bora kuchukua tahadhani ndogo ndogo na rahisi kujiweka sawa angalau mtu asiweze kuingia kwenye net yako kirahisi, nimeandika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wanabodi, Nimeletewa simu ya samsung yenye OS ya androind vrs 4.0.4 kutoka huko ughaibuni tatizo nikiweka line na kujaribu kununua LUKU au credit kwa mpesa au tigo pesa inaniambia...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Wakuu kila nikija kucheki history ya kwene browser (natumia firefox) nakuta wameaccess(wenzangu) hiyo kitu... Msaada kama kuna settings naweza fanya au kama kuna software ya kublock mtu kuaccess...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
fellas nahitaji kusoma hii kitu cisa kwayeyote anaejua center inayotoa hii course na gharama zake plz
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Baada ya kupatikana kwa usumbufu sana TBC 1 katika Intelsat 906 at 64.2 E degree au kukosekana kabisaa,Naskia wamebadili transponder je? Kuna ukweli na kama kweli ni zipi? Msaada samahani. Mr...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wana jamvi,natumia samsung galaxy S3 mini inakataa kufungua play store na hua ikiload baada ya muda inaandika 'conection time out' naomba msaada kwa anayeweza tatua hili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa,tbc wamebadilisha masafa yao kwa tangazo walilolitoa juzi ila sikubahatika kuzipata hizo frq maana nilipata tangazo linamalizika hivyo kama kuna...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari, I have been a fan of this science and technology forum for a long time now, but unfortunately there is rarely discussion on Electronics designing. I don't know what the reason...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimeinstall window baada ya kuona iliyopo inasumbua,lakini sasa ndio haiwaki ujumbe inaandika hivi. HARDWARE MALFUNCTION Call your Vendor for support NMI...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Back
Top Bottom