Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Unaweza kusikiliza badala ya ksoma kwa pdf file lolote kama unayo Adobe Reader 7.0 or 6.0, na shortct ni kama ifuatavyo: Ctrl+shift+b - to hear the entire Document Ctrl+shift+v - to hear the...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
wakuu natumia window 8 ya softNN kwenye desktop yangu ya hp. Natumia program ya nokia pc suite ila wakati nachomeka simu yangu ambayo ni nokia asha 200 ili ni tumie kama usb...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Kwa watumiaji wa smartfne (android OS), kuna app moja inaitwa document to go hii app kazi yake ni kuweza ku type document katka mfumo wa MS WORD, MS EXCELL na MS POWERPOINT. Kwa maana kwamb...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
wakuu,kila nikiifungua inaniambia ipo write protected wakati sijaiprotect,nikitaka kuiformat inaniambia hvyohvyo,nikitaka kusave data the same,jamaani nisaidieni naiformat vp hii flash hii??
0 Reactions
4 Replies
882 Views
Msaada wanajf nataka nitumie decodor 1 ya DSTV kuangalia channel tofaut kwenye tv zaid ya 1,kwanza kabisa inawezekana?na kama inawezekana naomba basi nisaidiwe kueleweshwa jinsi ya kufanya ili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani naombeni mnisaidie key za iyo software JAVASCRIPT SLIDESHOW
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Wakuu nimekwama nahitaji msaada wenu wa haraka ktk hili.External HDD yangu haisomi ktk Imac yangu.Mwanzo ilikuwa inaonekana though nilikuwa siwezi ku paste files toka Mac kwenda kwenye HDD na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
tujuzane Ni mwaka gani ulitumia intaneti kwa mara ya kwanza?
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Local disk c kuoneka nyekundu kama imejaa! Kawaida huwa nna delete temp files, naondoa hybernated file inarudi fresh lakin baada ya muda mfupi tatizo larud tena je kuna permanent solution ya hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalamu nauliza,je unaweza kutumia skype ukampigia mtu kwenye cm ya mkononi.Vp charges zake zikoje kwa yuke anayepiga na yule anayepokea.
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Nokia 1100 ( sold 150 million Units)
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi? Kipindi cha nyuma kidogo mitandao ya sim ya TIGO na Vodacom walikuwa wanatoa line zenye uwezo wa 64K (Huwa zinaandikwa kwenye line) tofauti na siku hizi, line zao zote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Torcache.net It is one of the torrent caching sites that caches the popular torrent to make their download faster. It is in fact the one that only deals with the torrent caching unlike the zbigz...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Heshima mbele wakuu !! kwa anejua wapi wana root android phones kwa hapa Dar !!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
How do i unlock ths modem? Ni voda Model: huawei E173 IMEI 352097047238621
0 Reactions
1 Replies
773 Views
kama code ya kurestore simu za samsung ni *2767*3855# je kwa nokia itakuwa ipi?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Msaada mwenye ufahamu jinsi ku-upload kitu ktk Torrent kiasi kwamba ikawa downloaded na watu wengine Natanguliza Shukrani
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Jmn naomben msaada kwenye hli ri program, natumia adobephotoshop CS3 extended na2mia kuEdit (background) picha hapa sasa nmeisha idrag ile pcha yangu kwenye background hucka, tatzo n kwamba ile...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnipokee Mgeni jamvini. Nauliza wapi jijin Dar naweza kupata watalaam wanaoweza ku-root cm yangu. Ni HTC one 802w. Asanten
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Fellas Nafanya website/webapplication designing using PHP, HTML, na CMS kama Wordpress na Kidogo Joomla sasa hivi karibuni i was browsing the internet nikakutana na cms nyingine inaitwa TYPO3...
0 Reactions
4 Replies
762 Views
Back
Top Bottom