Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam wanajamvi! Naomba mnisaidie jinsi ya kuweka program ktk Ipad na nifanyeje kuepukana na virus? Jambo jingine ni hili-ni programs gani ni nzuri kwa Ipad? Ntafurahi sana nikipata msaada...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Voicemail nini?matumizi yake,jnc yaku2mia
0 Reactions
1 Replies
780 Views
wapendwa naombe msaada maana usb disk yangu inanisumbu nataka kuiformatt inaniambia THE DISK IS WRITE PROTECTED
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Wadau habari za majukumu, nimenunua simu mpya aina ya HTC ONE X ambayo inatumia min card, kinachonisumbua nimechonga min card na kuweka lkn inasema registration fail, na min card niliyochonga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Wahusika wanapenda uwasiliane nao kwa nyia ya email pekeyake na si vinginevyo. 2. Wanatoa ahadi ya kukutumia picha. 3. Watadai wanakupenda saana au wamevutiwa na profile yako. 4. Profile zao...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Fridge linawaka halitoi ubaridi wwte tatizo nn nisaidieni tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
831 Views
Habarini wadau naomba kama kuna application ambayo naweza kutumia facebook ukiachana na ile facebook special kwa Android mnijulishe hii special inakuwa slow then inachukua space kubwaa sana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau simu gani ni nzuri katika kuchezea games.
0 Reactions
0 Replies
804 Views
wataalamu wa ku-unlock tablet ni-pm niku-pm Model:s7-301u IMEI:357368041782541
0 Reactions
0 Replies
819 Views
habarini Nimeshafungua Web yangu kwa kuwatumia webstart ila kuna tatizo nimelipata wakati nafuata yale maelekezo yao kuna kitu nimeshindwa kukifanya nacho ni kujiregistere kwenye domain naomba...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Habari wana JF,samahani naomba msaada juu ya wapi naweza pata MIC ya samsung wave 2 pamoja na kubadilisha screen yk na gharama zake,ahsanten
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ninabox la GPG DRAGON Cjui kulitumia nawaomba wanaJF mnisaidie jinsi ya kulitumia kufrash simu na modem coz lina option nyingi lkn cjui kuzitumia
0 Reactions
0 Replies
927 Views
ninabox la GPG DRAGON Cjui kulitumia nawaomba wanaJF mnisaidie jinsi ya kulitumia kufrash simu na modem coz lina option nyingi lkn cjui kuzitumia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu nimeona matangazo ya ios7 imenivutia sana natamani ku-upgrade ios ya simi yangu ila nimejarbu sioni mahali pa upgrade ila sijaona, Na je ukiupgrade kuna matatizo yoyote?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shirika la ndege la Tanz air linalofanya safari zake toka Bukoba kwenda Zanzibar leo imepata hitilafa katika moja ya injini zake ikabidi rubani kutua ktk ziwa manyara. Abiria watano na rubani wapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nainstall game fifa 2003 kwenye laptop Compaq inagoma inaandika fifa 2003 requires hardware graphics acceleration
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Naombeni kujua namna ya kublock namba nisiyopenda inisumbue. Simu yangu ni NOKIA CLASSIC 2730 3G GPRS made in romania. Asante kwa ataenisaidia
0 Reactions
1 Replies
3K Views
WanaJF kwa yeyote au hawa wahusika wa hizi TV mbili yaani Star TV na TBC 1 vipi mbona hamuonekani kwenye satellite? Au mmebadilisha frequency? Maana ni matangazo mengi mtakosa kwa kutoonekana hivi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu. Naomba msaada hapa kidogo. nina modem ya airtel inapig kazi kama kawa ikiwa na network type HSPA ila ikibadilika kwenda HSDPA, inakuwa slow balaa yaani hata kufungu facebook...
0 Reactions
3 Replies
974 Views
NEW YORK (CNNMoney) If you're smart and rich, there's a good chance you use Google. A study released this month by online advertising company Chitika found that people who use Google's search...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Back
Top Bottom