Wakuu najaribu kuweka vocha airtel mbona zinakataa? Ni mimi tu au? Kila nikiweka inasema service timeout
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Naomba msaada wenu. Mimi simu yangu ni NOKIA 6151, na tatizo ni kwamba "Switch" yake ya kuwashia iliharibiwa na kutofanyakazi kabisa. Sasa Wataalam na Mafundi mliobobea katika maswala ya simu, Je...
The English edition of Wikipedia Encyclopedia contains around 3 million articles as of now and if someone were to print the entire Wikipedia encyclopedia into a book, the size of that book would...
Kama wadau mna uzoefu jinsi ya kuroot galaxy duos pamoja pia na faida zake ni zipi ukiroot simu unanufaika na nini zaidi au asijekuwa napoteza maana halisi. tafadhari tuelimisheni hapa nimesoma...
Nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza dynamic website lakini sijui chuo gani kina fundisha hapa Tanzania hata kama ni online..
Wana JF naomba msaada wenu
Kuna wizi umezuka mtaani kwetu wa kutumia dawa za usingizi, mnapuliziwa mnalala mpaka wezi wanaweza hata kuwalaza chini wakaiba mpaka vitanda baada ya kuwalewesha mbwa na walinzi getini.
Kuna...
naamini ntapata info za kutosha humu.
nahitaji jua ni kampuni gani hapa tz inatoa VSAT internet services at a considerable price with low equipment and installation cost.
Actually its not a virus wakuu lakini you can scare someone at office, home or a friend but its completely harmless! What you do, fungua notepad kwenye pc yako then andika start(...).bat. Hapo...
Stunning New Photo of Andromeda Galaxy Taken by New High-Res InstrumentBy Clara Moskowitz | SPACE.com Wed, Jul 31, 2013 7:45 AM EDT
Email
Share
Print
View PhotoThis new...
Hawa AGAPE,ambao wana king'amuzi chao cha ting,wamebadilisha mfumo wa urushaji matangazo toka dvbs kwenda dvb t2,hivyo wakawataarifu wateja wao kuwa wanatakiwa kuzirudisha zile decoder ambazo kwa...
Habari JF,
Nina mpango wa kununua galaxy s3 mini, nimejaribu kupitia reviews kwenye internet pia naomba kupata reviews zenu wanajamvi kwa yeyote aliyewahi/anayetumia simu hii. Asanteni sana
Mechanical (automatic) watches are not as accurate as quartz (battery operated) watches. They may have a difference of +/- 15/20 seconds per 24 hours period of their being on a practical (the...
Ndugu wanajamvi naomba msaada wa link ya vitabu au site nzuri nayoweza kujifunza java script from the scratch. Pia naomba ushauri(mawazo) juu ya ku i master hii scripting language.
microsoft ametoa software yake ya office kwa watumiaji wa android leo. sema itakua na sharti moja lazima uwe umenunua microsoft 365 ya pc ili uweze kuidownload.
kama kwenu au ofisini munayo ya...
Naomba mwenye kiufahamu simu hii. Ina inbuily memory ya 2GB. Nimeongeza memory kwenye external SD yeye 16GB.
Nimeshamisha Music and video, na pictures from built in memory to SD ya 16GB.
Shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.