Wadau nina simu ya iphone3, inanisumbua sana hasa ninapotaka kudownload vitu, kwamfano wakati unataka kudowload chochote inakuandikia this application require iOS4,au 5 au 6. Hivyo inashindikana...
Wana jf naombeni kuuliza, niliagiza mzigo flani kutoka ebay na kesho natarajia nikafanye payment, kuna mtaaram anaye jua makato ya TRA, afu mzigo ukishafika na dhl unapigiwa cm kwa ajili ya malipo...
Habarini wakuu, nadhani title imejieleza vya kutosha so kama vipi ni PM tuchonge vizuri.
Logo title iwe Elimu Yetu Tanzania so we ni PM tulonge vizuri.
Ok. Every web developer may not be able to achieve all these, but I think every web developer should at least achieve 3 of these. Check them out and tell me where I didn't make any sense.
1...
nimenunua waya wa avg na av cable
lengo nipate kuchomeka kwenye laptop output yake nipate kuiona kwenye t.v
lakini matokeo yake hamna kinachodisplay sasa naombeni msaada nini
nnilichochemka...
Get for free 50GB per Month, for Six (6) month!!... from 31.07.2013 to 31.01.2014
Just Click HERE to get the offer.
Offer validity: 31.07.2013 from 00:00 GMT until 03.08.2013 to 00:00...
Hivi wadau ukipiga risasi hewani juu huwa inarudi chini au inapotelea hewani na kama inarudi chini huwa inadondokea pale ulipo au sehemu nyingine na vipi madhara yake ikirudi chini maana nachojua...
Habari za leo wanajamii?? kuna laptop aina ya Samsung notebook (haina DVD Rom) imekumbwa na virus nadhani maana ukifungua folder au file inakuwa ina-blink blink na pia yanafunguka mafaili mengi...
Wakuu habarini za humu? Leo nimependa nishee ujuzi wangu kidogo wa masuala ya silaha, huwenda kuna wadau wanaona/wanazo lakini huenda wanafahamu kwa uchache. Please kama una swali lolote(ofcoz...
Mwanzo ilikuwa ina speed nzuri sana. Lakini siku moja nikaona inaprint slow kupita kiasi. Page moja inaweza kuchukua hata nusu saa hivi! Na haijarecover tangu wakati huo!
Aina ni HP photosmart...
Samsung Galaxy SIII with cracked screen It works fine though it has some cracks on the screen..for more detail check me on whatsapp or give me a call +255715900510
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.