Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natafuta site yenye best downloadable movies
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Voda kwa kuboresha INTERNET yao. Japo wamepandisha gharama, Lakini sijuti kutoa 500/= kwa kujiunga na WAJANJA NIGHT OFFER. Internet ipo kasi sana, na haijam jam...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
habar zenu wakuu kama kuna mtu anajua kuchonga line mwenyewe anifundishe kwa sabab yangu imepotea nataka ninunue nyngne alaf niichonge mwenyewe nasikia inawezekana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mtu anayeweza kubadilisha (OS) operation system ya lenovo p770 .badala ya lenovo store niweke Googleplay store.
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Wakuu nafuta site yenye news bora na zauhakika
0 Reactions
1 Replies
772 Views
wataalam wa haya masuala naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia naomba anisaidie password zangu za email ya gmail zimebadilishwa na mtu hata cmjui alaf nikitaka ku restore p.word namba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu.. Naomba msaada wakurudisha Touch view to wapsite view maana nimebonyeza Touch hapo juu pembeni ya Logout naona haitaki kurudi kawaida baada ya kubonyeza wapsite chini. Naomba...
1 Reactions
3 Replies
953 Views
## Nataka kutuma Salio kutumia Laini ya Airtel naambiwa niweke Neno la Siri sa Mie Cjui # ya Siri Msaada Plz ##
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Wandugu wazima?mi nnatatizo na sim card yangu ya tigo,yani nashindwa kabisa kutuma sms, naombeni msaada wenu wakuu.
0 Reactions
3 Replies
711 Views
Ndugu wana Jf huku kwetu wizi wa simu umekithiri sana juzi niliibiwa Nokia C3,nime jichanga nime nunua Nokia X2-01,kama mjuavyo kinga ni bora kuliko tiba naomba msaada Ndugu zangu kama kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninatumia samsung galaxy s3 lte, hivi hii sim haina Fm radio au mimi ndo sijui inapatikana wapi?? Naomba mnisaidie majibu wanaoifahamu vizuri hii sim..
0 Reactions
0 Replies
643 Views
wakuu nimeiona trailer ya gta somalia siku nyingi you tube kama kweli rock star watashusha huo mzigo 2014 ni idea nzuri sana.hawa watu wanaweza aisee kwangu mimi ni the best kwenye mission games...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninatumia galaxy s3 lakini inaleta utata mara kwa mara ina stop na kuleta msg kama hapo kwenye picture
0 Reactions
0 Replies
784 Views
mwenye izo setting za kuunga tigo internet anisaidie wakuu natumia samsung galax mini ila kinakata sana service nahitaji kuwa nazo niunge mwenyewé
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu nilikuwa naomba msaada wenu nina flush disk ambayo nikiichomeka kwenye compyuter ili niitumie kwanza inanipa message hii 'you need to format the disk before you can use it? Nikikubali...
0 Reactions
8 Replies
921 Views
desktop yangu hii tatizo limeanza baada ya ku-replace RAM ndio inatoa 2 long beep sound bila ku-display sijui nini kimekufa ila machine inawaka.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
wakuu naomba mnisaidie nashindwa kucopy kitu kwenye flash yangu si picah wala video inaniambia `THE FILE HAS A PROPERTIES THAT CANT BE COPIED TO NEW LOCATION` mwenye kujua tafadhali nini...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Wadau kwa mwenye notes za video za office application(microsoft wod,excel,powerpoint na access 2007) pamoja na Adobe products na coral drawing anisaidie
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU JINSI YA KU CONNECT MODERM mbili KWENYE PC moja
0 Reactions
3 Replies
919 Views
Wana jf naomba msaada nataka kuweka windows main laptops ya Samsung msaada haisapoti dvd room
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom