Mimi ninatumia microsoft office 2007. Ninataka nianze page na Roman numerals mfano i,ii,iii... halafu page zitakazofuata zianze na namba za kawaida tu mfano 1,2,3....kwenye document moja. Mwenye...
Habari wa kuu? nilikuwa nauliza kama kuna uwezekano wa ku-connect modem mbili za huawei @ the same time? najua hii kitu inawezekana kwa ZTE na Huawei ... Hii ya 2 huawei modems nimejaribu...
Hi wadau wote JF! naomba ushauri ni simu gani nzuri naweza nunu dukani ambayo ina spidi kubwa ya intanet , camera nzuri na inayoweza kuwa software programes nyingi na inatunza chaji. zenye bei ya...
Want your Program aired by Zuku TV? Here is what you need Zuku is our consumer facing brand that reflects a new, fresh and innovative range of products and services targeting the...
Nlikuwa nikitumia Connectify Dispatch genuine Copy yapata miaka saivi. Lakini nlipokuja kuweka Pdproxy VPN kwenye pc yangu kukawepo na Ukinzani. Pdproxy ikakataa ku-connect hadi nlipo-uninstall...
Kuna umuhimu gani wa ku Update Bios ya Desktop Computer?kila Mara ninaletewa Alert ni Update Bos ninaogopa ku Update niafanye kitu gani mnacho nishauri? Je ni Ki Upadte Bios kutakuwa namadhara...
Jaman mimi sio mgeni saana ila kiukweli kuna mambo siyajui humu..
1.Ikiwa nimetoa thread yangu na member wakachangia ni jins gan nitaiona tena hyo thread ili nijibizane na member?
2. Ikiwa...
Wakuu,gari yangu ni aina ya Nissan X-Trail 4wd Automatic Transmission. Baada yakufanya service, kumwaga Gear box Oil, gari limekuwa na shida sana katikakubadilisha gia hasa kutoka number 2 kwenda...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia matangazo ya kazi sehemu mbalimbali Tanzania, lengo langu kubwa halikuwa kwa ajili ya kutafuta kazi, bali nilitaka kujua uelekeo wa ajira kwa nchi yetu ya...
Naombeni msaada nina blog yangu nimefungua kama wiki mbili zimepita sasa nikajiunga na google adsense sasa katika blog yangu kuna article nimepost kwa lugha ya kiswahili sasa hawa jama wamenigomea...
Habari!!
Naomba kwa mwenye elimu au ujuzi njinsi ya kudownload movies au series kwenye you tube anifahamishe tafadhali.
Natanguliza shukrani
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Kuna siku niliona bandiko humu JF likisema wanaotaka kupakua facebook na kutumia vyema kwenye Android kirahisi iliwekwa link (kiambatanisho) nami sikujali kwakuwa wakati huo nilikuwa natumia...
siku hizi camera za simu ndio kila kitu watu wameacha kununua digital camera za kawaida na watu wanatumia camera za simu kila wakati. ni vigumu kujua uzuri wa camera ya simu hadi upate maelekezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.