Mi ni mwanafunzi nimemaliza certificate of information technology sasa nategemeaa kujiunga na diploma naombeni mnishauli nisome nin Kati ya Information Technology or Business Information...
Naomba msaada wa link nzur ya program ya oovoo kwenye PC kwa ajil ya instant msg na video conferencing nimejarbu sana lakin ikifika asilimia kumi na tano inagoma kumaliza installation.
Root tecno p3
Check the following steps to root your Tecno
P3
Steps To Root Tecno P3
*Download Poot .
*Click on poot and install, after installing , go
to the icon and click on it.
* It will...
Binafsi nakubaliana na Simcard Tax.... Ifike wakati tuache siasa na tuone fahari kulipa kodi kama ilivyo kwa wenzetu huko marekani mimi naamin watanzania wa kweli wote wanakubaliana na kodi hii...
...inakera sana, mtu unanunua kifurushi,wanakupa hongera kwa kununua kifurushi, kabla hata hujapiga simu hata moja unapokea ujumbe kwamba kifurushi chako kimekwisha nunua kingine...!! Unapiga...
Zatajwa mbinu za kujua simu feki
Dar es Salaam. Kampuni ya SamSung maarufu kwa kuuza simu, imeamua kuwasaidia wateja wake kwa kuwapa mbinu za kutambua simu bandia kabla ya kutoa fedha wakati wa...
Nimeshindwa kuconnect blackberry 9300 na psp go nahitaji kuingiza music,videos na pics via bluetooth na kubwa zaidi kutumia blackberry 9300 kama bluetooth modem ili niingie kwenye store ya kwenye...
nimekutana na mtu analalamika simu yake ya nokia x2-01 imefanya kama inajiupdate mara baada ya kuzima na kuwasha settings zote zimebadilika na browser haifanyi kazi, kwenye bluetooth menu...
habari zenu wakuu.kuna mzigo nimetumiwa kutoka Emirates kwa njia ya posta,naskia unaweza kuangalia kwenye net mzigo umefikia wapi,tafadhali naomba munijuze kuhusi hili
One of the most difficult aspects of being a web designer is dealing with clients that "just dont get it". In this article, well discuss seven things that often make the job of web designers...
HABARI ZENU WAKUU NATUMAINI WOTE MU WAZIMA.NINAOMBA KWA YEYOTE YULE AMBAYE ANA UELEWA,NI HIVI LEO NIMEAMUA KUPIGA CHINI WINDOWS 7 ULTIMATE NIKA INSTALL WINDOWS 8 SASA TATIZO LINAKUJA...
Earlier this year, i took a part time teaching gig at one of the Universities in Arusha, i was teaching Object Oriented Programming(i was teaching using java). It was a great experience for me...
Natumia satellite a300-14s, windows xp
zamani ilikuwa na window vista ila baadaye nilibadirisha nikaweka windows xp ila sasa kuna tatizo la drivers za VGA, na AUDIO,
nimejaribu ku install...
Vipi wakuu, hali zenyu? Naomba kujua kama TBC na STAR TV wamebadili frequency au vipi?
Maana ni karibia miezi miwili sasa kwenye dish langu haipatikani.
Au wametolewa kwenye satellite?
Nasubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.