Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wataalamu wa hili jukwaa nimeinunua hiyo cm ina siku tatu tu nataka ni unlocke iwe ina ingiza simu card yoyote kwan sasa hvi inatumia tgo peke yake je kuna madhara either network au madhara...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu Nilikuwa naangalia vifurushi vya voda na airtel, nikakuta 5gb voda wanauza 20,000/- (1 month period) 5gb Airtel wanauza 45,000/- (1 month period) Kwa nn bei zimetofautiana sana? Naomba...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Mi ni mgeni katika matumizi ya hii os,naombeni msaada nifanyeje ili niweze kutumia modem yangu katika ubuntu 12.04? Pia nitahitaji msaada jinsi ya ku-play mp4,RMVB,AVI na aina mbali mbali za movie...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ni Nokia Lumia 620 Amazon inauzwa 205USD takriban 340000 (by nokia) (unlocked) Vodafone UK inauzwa Euro 125 takriban 270000 (pay as you go) Online stores South Africa na India takriban si...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani naomba ushauli wenu eneo nililopo halina umeme kwa hiyo nataka kutengeneza umeme kwa kutumia betri la gari na inveta kwa matumizi ya kuchaji cim na redio na tv je inawezekana ushauli hata...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nna BB smart Phone , Bold9700. Kila nikijaribu kuplay video kwenye Youtube inaniletea ujume usemao "An error has occured attempting to play media card" na kwa juu ina Red inaandiak Error playing...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Habari wanajamii Naomba msaada wa kudownload hiyo programme or hata version ya juu yake Au website/njia inayoweza kunisaidia kupata hiyo software
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wakuu, I bought a memory card (8gb) which was working perfectly until a couple of days go when I rebooted my phone and it gave me this error 'the media card inserted contains errors' then...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Waungwana mnisaidie nikitumiwa sms znakatika katika ktk page mbili na zaidi kwenye TECNO N3,,,,nifanyeje zije ktk page 1 hata km ni sms ndefu kias gan, ,, msaada plz, , ,
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu wana Jf, hv ni program gani kwa utengenezaji wa video? Na je zinapatikana kwa bei gani, au ni za kudownload free? Msaada plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namba msaada wa LG unlock code MODEL..SKU 65220 Made in Korea (at&t) IMEI-012620001625392 haisomi network za hapa tz
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Naombeni msaada wana jf hasa watu wa It . Nimenunua printer mpya aina ya Kyocera tk-340 2020D, nimeifanyia installation ikamaliza, sasa kwENYE KU PRINT TEST PAGE pale juu ya printer ikawaka taa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cm yangu aina ya tecno t721 ina tatizo la kubadilisha text messege kwenda mms pindi niandikapo sms yenye zaidi ya characters 150 hivyo kushindwa kuituma.nifanyaje ili niweze kutuma sms ndefu?
0 Reactions
0 Replies
897 Views
We had little time to waste and we thought we do this funny thing in those few minutes Hope you enjoy and see little Gimp Muscles :)
0 Reactions
1 Replies
689 Views
natumia simu samsung GT-C3222. sikuwahi kuingia youtube na kuangalia videos lakini nimejaribu leo kila video ninayojaribu kuangalia inakataa na message ninayopata ni "does not support". nifanye...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
natumia simu samsung GT-C3222. sikuwahi kuingia youtube na kuangalia videos lakini nimejaribu leo kila video ninayojaribu kuangalia inakataa na message ninayopata ni "does not support". nifanye...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Ni PC aina ya Dell Optiplex GX 620 Desktop. Tatizo limeanza leo baada ya kuzima alafu nikawasha ili kupisha i-instal updates ambazo zilisha pakuliwa na PC yenyewe sasa kwenye kuwaka ndio tatizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kipindi hapa ofisini nilikua naunganisha wireless network ya kampuni kwenye ka android kangu asa wakagundua kama natumia sijui walifanyeje manake sikuiz nikiunganisha inagoma inaandka...
0 Reactions
2 Replies
767 Views
natanguliza shukrani zangu ma great thinker... simu yangu aina "LG SU 370" imejilock naomba mtaalam anisaidia namna ya kuiunlock manualy... Asanten
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habarini wadau nilikuwa na root tecno p3 nimeweza kudownload poot also nikadownload ministro 2 playstore lakini ninapojaribu kuapu date libraies napata huu ujumbe INVALID QT VERSION naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom