Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
heshima kwenu wakuu naomba mnisaidie nimeweka dvd kwenye mlango wa dvd rom (laptop) naitoa sasa hivi haikubali naomba mnisaidie nifanye nini niweze kuitoa,nimejaribu kwenda my computer kuitoa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
This image is courtesy of Google, like everything in my life. (Courtesy of Google / Google) Dear Google, What, what, what are you doing? Look at your life. Look at your choices. Look at your...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
habari wadau naomba mwenye link au website ambayo naweza pata application ya ku rootia tecno P3 anisaidie kwa sababu nimetafuta google bila mafanikio asanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu leo yapata mwezi tangu nilipoibiwa Ipad yangu aina ya Micromax P560,jana mchana nikaipata kutoka kwa mwizi wangu lakini kutoka na mazingira ambayo nilimkuta kule Mbande-Machimbo,akiwa amekaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima wakuu, nahitaji kioo "touch" cha ipad
0 Reactions
5 Replies
1K Views
2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 SIM Micro-SIM Announced 2012, May Status Available. Released 2012, May BODY Dimensions 136.6 x 70.6 x 8.6 mm (5.38 x...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, api Naombeni msaada , nakereka sana na hii cm galax note, yaani charge aikai, na mara nyingine nikiwanayo, inanipa message kwamba battery temperature iko juu wakati haiopo kwenye charge...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf ni wapi naweza kufanya printing and binding ya lesson plan kwa bei poa, format ninayo kwenye softcopy, stationery za kawaida gharama ni kubwa. Nipo dar Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nina HTC Desire inanipa error message ya kutokusoma sim card japo hapo kabla ilikuwa inafanya kazi vizuri, nimejaribu sim cards za kampuni mbili tofauti za simu lakini tatizo...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Wakuu nimepata tatizo katika mashine yangu, ni dell N5040. imekuwa ina delay ku respond Unapo click au kufanya chochote, hii inatokana na HDD ku run %100 muda wote. hii imekuja baada ya ku...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Hallo, New Samsung Galaxy Note 10.1 available for xchange with a new Samsung Galaxy S4. If you are Interested please just PM me. Its Specs: »Improted From USA »Quad Core...
0 Reactions
8 Replies
993 Views
:A S 2152:jaman account yangu ya fb kila nnapo taka kuingia inanpa maelezo ya kujiunga u:A S 2152:pya,naomben msaad
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kama kuna mwenye link ya kupakuwa Software ya Miziki ya Q BASS naomba anisaidie Tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Wale fans wa Photoshop (Wanaojifunza, Experts au wanaokuwa impressed na kazi za photoshop) tuchangie ideas hapa. Kama unaswali, una tip au kuna picha umeedit,waweza changia hapa na wadau wengine...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
Nina pc ya dell inspirion. Sasa imenizengua nikiwasha inanionesha mistari mingiii mno kwenye display na pia inaniandkia ( windows error) cha kuniogopesha zaidii ni kuwa ina kama ki ufa ambacho...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Mars Lost Most of Its Atmosphere Billions of Years Ago, Scientists Say Like Dislike...
1 Reactions
0 Replies
594 Views
NPS investigating why Indiana dune swallowed boy Like Dislike...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
wana jf nimesikia tangazo la voda la simu za promotion za techno B3, zinauzwa 170,000! Nimeingia net nimecheck specs zake ni za kawaida sana, sa najiuliza ni nini kingine cha ajabu kwenye hiyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wadau,naomba msaada wenu mwenye ufahamu,pc yangu tangia nimeiupdate imekuwa ikihitaji genuine window na kila napo weka picture kama front desktop(wallpaper) inatoka naa kuweka weusi tu...
0 Reactions
3 Replies
909 Views
jamani simu yangu huawei ascend y200 haioneshi picha. naomba msaada cha kufanya tafadhal
0 Reactions
5 Replies
885 Views
Back
Top Bottom