modem za line moja najua zinapatikana ktk maduka ya mitandao husika,kama vodashop,zantel shop nk...sasa hizi universal zinapatikana ktk maduka aina gani? na bei zake zikoje?
My mum was an English teacher back in Nigeria and I learnt early enough from when she graded students scripts that spelling errors were good enough reasons to fail your English test or exam...
habarini wapendwa katika kupractise vitu ninavyo visoma kuhusu web design nikajaribu kutengeneza forum inayohusiana na mambo ya technology kwa kutumia wapka (wapsite builder) na kufanikiwa...
Jul 02 2013
Mozilla Announces First Firefox OS Phones
Mozilla announced the first two smartphones based on its operating system, Firefox OS on Monday: the ZTE Open and Alcatel One Touch...
Jamani kwa we ye Ku UA tujuzane ni kiwango/kiasi gani cha pressure/upepo kinatakiwa kujazwa kwa matairi ya magari, mfano kwa kakorola kangu kenye tairi saizi 14, tueleweshane wandugu
NDUGU,niaje aisee naomba Mnisaidie njia na steps za ku unlock hii moderm,coz inatumia laini ya zantel tu na huku nilipo sasa hivi mbinga-songea hakuna network ya zantel ila kuna airtel,voda na...
Habar waungwana.
Ninapata shida ya kuchagua VPN Madhubuti kwa Speed na yenye Service and easy Setup,
Nimejaribu kupitia kati ya Hizi hapa lakini kila Mmoja anajiona yuko juu ya mwenzie...
Wakuu naomba msaada ..simu yangu hata mwaka haijafika .samsung galaxy advance original si mchina
Imezimika hafla kuwaka inawaka na ukipiga simu inaita na fresh tu but kioo hakioneshi..kitu
.yaani...
Shida yangu ni jinsi ya kuondoa password kwenye Pc (Dell,latitude:630) ni bios password kwani nimejaribu kutoa cmos but haikutoka,naombeni msaada wenu.
Wanasayansi wa maabara ya Bristol Robotics Uingereza wamegundua njia ya kutumia mkojo kama chanzo cha kuzalisha umeme wa kuchaji betri za simu, na kudai kuwa wa kwanza kutengeneza the worlds...
Hii simu nimenunua jana,tokea niweke line ya tigo nimekuwa nikitumiwa sms iko hivi "CH(50): TIGO PESA *150*01#"Hadi sasa zimeingia sms zaidi ya 150,nimechoka kabisa.Nimewapigia tigo wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.