Nahitaji kuwa updates sana na kila habari inayoletwa humu ndani. Ni kwa jinsi gani naweza ku subscribe na jamiiforum, ili niweze kupata kila habari inayoletwa humu hata kama nikiwa offline, I mean...
wakuu naomben msaada nahc account yangu ya faceboo watu wamei hack kila nikiifungua nikiweka password inaniambia ni old password nikienda kwenye email ku rest p.word na email nikiingza p.word...
Wanasayansi wa JF, Msaada wenu please!
Nataka kufungua studio yangu ya video na photo production. Ninunue vifaa gani kwa kazi hii?
Naombeni mnisaidie jamani.
Wakuu naombeni mnisaidie hii simu nikandika msg ikazidi na kuwa mbili inaibadilisha na kuwa MMS na ukiituma haiendi tena. Sasa naombeni mnisaidie ndio kawaida ya hizi cm au kuna setup naweza...
Habari yenu wadau,
Hivi karibuni ninatarajia kununua kidadavuzi mpakato na nimetokea kuipenda hii Hp 650. Nihabarisheni kuhusu ubora/mapungufu yake jamani kabla sijainunua.
NB: Nanunua kwa...
atakaeweza kujailbreak ps 3 yangu,kunielekeza jinsi gani ya kucheza downloaded games step by step au wapi naweza kupata cd za bei rahisi a.k.a za kuchakachua tafadhali naomba anisaidie niko tayari...
Samsung Galaxy Pocket S-GT5300 kama simu zote za Galaxy Series ni simu ambayo iliingizwa hapa nchini kwa mbwembwe zote. Lakini jambo ambalo Samsung, kampuni inayozitengeneza, haikumwambia mteja ni...
nashindwa kufanya chocohote kwenye flash yangu kucopy files hata kuformat pia nashindwa tafadahli mwenye kujua ni jinsi gani naweza kuondo write protection tafadhali naomba anisaidie
Nina laptop yangu aina ya toshiba imekufa keyboad. Kuna batan kama 7 tu ndio zinafanya kazi, kwa sasa natumia externa keyboard but inaniboa coz nahic napoteza maana hals ya laptop yangu. So kama...
wandugu habari zenu, naitaji msaada keyboards yangu nikiandika inatoa neno na number mfano nikiandika W inakuja W4 mwenye kujua how to fix this tafadhari msaada
Ndugu wana jamvi nina hyo cmu ya motorola nimeletewa lakn haina mahali pa kuweka line jaman yoyote mwenye msaada nn nifanye niweze tumia smartphone hii
duniani kuna mambo mengi, unaweza ukajiuliza kwanini manufacture wakubwa kama NOKIA au BLACKBERRY wanatengeneza simu bila camera? na usipate majibu. ila jibu ni rahisi tu simu zisizo na camera...
Wakuu in My long vacation nataka niwe na skills za hii kitu na kwa kuwa kuna wababe wa haya mambo
basi mwenye kuwa na Vitabu in soft copy vizuri vinavyo fundisha kwa illustration naomba link au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.