Mi binafsi nategemea sana kusikiliza bunge nikiwa ofisini kupitia hii radio ya Online.
Lakini hivi karibuni imekuwa haieleweki mara wapo hewani , mara hawapo.
Naomba wahusika watuambie nini...
Wadau wa programming.
Nina server-client application ambayo nimetengeneza kwa kutumia Python programming languange.
Aplication ina server side na client side, zote nimetumia stream socket kwa...
natumia nokia N73 lakini kwa siku mbili hz,inaonesha msg zmejaa kwenye simu yangu wakati hakuna msg hata moja,vilevile hata kusave number inagoma kuna msg inatoke"not enough memory check push to...
laptop yangu LATITUDE E5510 nikichomeka cable ya ethernet LAN inablink vizuri lakini haiditect na hata ukiangalia kwenye network unakuta haipo lakini inablink... sasa sijajua tatizo nini msaada wadau
Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya simu hii ni event ambayo hutakiwi kukosa jolla wanatoa os yao ambayo ni open source
Hawa jamaa ndo wagunduzi wa vitu vingi kwa simu kama simu isio na button...
In the symbian app, there are three connection types: * Bluetooth * USB Cable * WiFi Ive only actually tried the bluetooth connection and it worked perfectly well. The J2ME App only has bluetooth...
Nina hii receiver(ni zile fupi-sio pana),ila cha ajabu on tbc nina option 3 tu za radio,ile ya nne(clouds fm) haipo,mi nlijua wamejitoa on satellite juzi nimeenda kwa mshkaji yeye ana mediacom...
Heshima kwenu wakuu
Naomba kujuzwa mambo machache na wataalam wa iPhone nataka kuupdate iOS ya simu yangu ipo unlocked na cyo jailbroken
1, naweza iupdate kwa kuidownload kwenye simu kwa kutumia...
Let me introduce to you something, Yii. Some here know it, but if you don't, Yii is is a very flexible and high-performance application development framework written in PHP. It helps building web...
hiz ni njia za kuistall xp in 10 min
As We all know that
During Formatting a
Computer After the File
Copying is Completed
then windows Require
39 Minutes Time...But What Extreme In It...
Hi, JFs
For anybody with the experience and solution to implement the Web Video Conferencing systems please PM.
I want to implement Web Video Conferencing. I have 4 remote sites which are...
Napenda kutoa tahadhari kubwa sana kwa wanafunzi wa UNIVERSITY OF DAR ES SALAM wanaoishi Mabibo Hostel na watu wengine wanaokaa maeneo hayo. kuna kijana ambaye anajifanya ni fundi Computer hasa...
kama mwenye software au link ambayo naweza pata software au application ya kuweza kuedit grammar and other spelling mistakes for word document especially on research. naomba sana.
asamteni au
Kwenye hizi series kuna watu ambao ni wakali kwenye upande wa computer, Birkhoff(Nikita) na Chloe(24hrs) , we unadhani nani ni mkali?
Mi kwa maoni yangu nadhani Birkhoff ni mkali hasa linapokuja...
A friend of mine is looking for an expert in company logo design.
Please send PM with your contact details for further communication (email add.). However, don't forget to talk a bit of your...
wadau mashine yangu inazingua,kuna mda nikiizima inazima fresh ila nikiiwasha haiwaki na hata taa za mbele haziwaki hata kama nikiconnect power taa za power haziwaki indicating dat betri...
kama wewe ulikiuwa ni mpenzi wa 24 hrs na kama ulimis basi jiandae kuanza kuiona tena kuanzia mwezi may mwakani,na iataonyeshwa na channeli ya fox,itaonyeshwa vile vile kwa masaa ya kweli na...
Wanajamvi heshima mbele !!!
bila kupoteza muda niende kwenye mada,kwa kifupi nina simu yangu lumia 900 ila inanichanganya vitu vifuatavyo !!
1.Nashindwa kupata huduma za m-pesa
2.Nashindwa kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.