Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nna printer ya Epson Stylus SX525WD. nikiiwasha inaandika (Printer error. Turn power off and then on again. For detail see your documentation). Nimejaribu kuizima lakini wapi naomba msaada kwa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
habari za mdaa huu wana jf? Mimi nimenunua simu aina ya iphone 4s 64gb lakin kinacho nishangaza nikitaka kufungua mfano skype ambayo application yake tiari ipo humo inasema there is no enough...
0 Reactions
5 Replies
964 Views
WAkuu msaada namna ya kufungua simu ya I Phone 4 ni mpya ,maana nimejaribu kuuliza kwa mafundi gharama wanayotoza ni kubwa sana kama kuna mwenye msaada please naomba kusaidiwa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natumia simu galaxy3 ,nataka kuito lugha ya kichina inakataa msaada jamani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, kwa aliye wahi kutumia hizi wire-less mouse naomba anijuze uimara wake maana kuna sister hapa chuo anaziuza zinaitwa Gmax kwa sh 15000 so sijawaha sure sana zinaweza kudumu kwa mda gani.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nahitaji msaada kwa anayeweza ku-unlock iphone4 basement 4.10.01 Version 5.0.1
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana Jamii. Ninahitaji mtaalamu/mwalimu/mkufunzi anayejua Quickbooks (of course anayejua accounting pia) anifundishe kwa wiki moja. Mafunzo haya yataambatana na kurekebisha posting za nyuma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu: Samsung Galaxy Note Model: GT N7000 Android ver 4.1.2 Tatizo: Baada ya kuifanyia restore kama mwezi mmoja ulopita siwezi ku-access mobile data pale napotaka kutumia Google apps and...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hebu kama una ticket ya basi la kijani na umeshaingia ndani umekaa kwenye seat jaribu kama unataka kufungua vioo kwa kubinya hizi button *149*15# umeona nini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utawezaje kubadilisha window kwenye computer yako.?
0 Reactions
5 Replies
984 Views
wakuu, Msaada tafadhali, nimepoteza cable kwa ajili ya digital camera yangu aina ya sony na siwezi kucharge battery (internal) tena. Nimejaribu kugoogle jina la cable yenyewe nimegundua inaitwa...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
nimejaribu ku download New PC suit studio na kies jili ya kukonect na copyuter lakini zote zinaniambia phone is not recognized or registered , msaada kwa utatuzi ua link ya softwere inayo faa.
0 Reactions
4 Replies
770 Views
Heshima kwenu Wanajamvi! 1.Ndugu zangu naomba kujua simu za android ndio zenye mfumo upi au ni simu zipi? 2.Na zingine nasikia symbian. 3.Simu yangu ni Nokia E5 ni mfumo upi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Samahan wakuu,Natumaini mu wazima wa afya, nimejisahau nika activate window, sasa mda wote laptop ni black screened with the message Build 7600 this window is not genuine, nimejaribu activation...
0 Reactions
19 Replies
451 Views
Wadau naombeni msaada kwa anayemfahamu fundi simu anayeweza ku unlock Iphone 4S kutoka UK. Ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa O2 huku Uingereza.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wanajukwaa hili na wataalamu wa haya makitu @c6, Young_master, MziziMkavu na wengine nijuzeni jamani mbona mie laptop yangu haiconnect jf??? mwenzenu siko RIS ila kila nikitaka kuconnect naambiwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu. Simu yangu aina ya NOKIA ASHA 305, imekataa kabisa kuconect kwenye internet, Yaani si Email, Internet, Games (Store), Facebook, Chats.....yeyote mwenye msaada nitashukuru sana.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
If you set up your PC to dual boot between Windows 7 and Windows 8, but have decided to end the experiment and go back to using Windows 7 full time, we have good news. It’s incredibly easy to...
1 Reactions
1 Replies
704 Views
Heshima kwenu wanajamvi! Kuna huduma ifahamikayo Dstv mobile kwa wale watumia wa voda hususani wale wenye simu za 3G Kuna channels kama 15 hivi ikiwemo Tbc1 Lakini la kushngaza na kusikitisha...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Khabari zenu ndugu wanajamvi! Nimedownload game ya fifa 2013 yenye ukubwa wa GB 6 nimeliextract limekuja kama image na ukitaka ku run linataka uliban kwenye cd. So, mwenye maujanja ya ku run hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom