Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
where can i find psp memory card? please help me
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Sms hii nimepokea kwa simu yangu muda si mrefu na nimeshindwa kuielewa From +353879501580 Your Mobile# have won 500.000.00 GBP in the Coca Cola Promo. Email Your Full Names,Address & cell# to...
0 Reactions
6 Replies
36K Views
Kuna mtu anataka kuniuzia mashine za HUAWEI za internet za wireless.Nikitambua kuwa ushauri wako utatokana na jinsi unavyouifahamu na matumizi yake na bei yake ikiwa mpya MSAADA WENU
0 Reactions
15 Replies
1K Views
nitakuwa na mpa madili ya kutengenez printer mara kwa mara japo siyo kila wakat, kwan kulingana na kaz zangu nakutana na watu wanashida na printer na nakuwa sina mtu. Call me chap. 0715812160...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Wakuu nahitaji kurecover mafaili yangu ambayo naona kwenye external driver yapo ila nikifungua siyaoni. Niliingia kwenye kompyuta ya mtu nikabeba virusi hadi basi. Nayahitaji mno hayo mafaili wadau
0 Reactions
5 Replies
976 Views
wadau naomba msaada wa ku unlock huawei modem e226
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa natumia laptop yangu lakini ghafla sreen ikabadili langi na kuanza kun'gaa sana na kutetemeka,inatoa mwanga mkali sana,napata shida sana kuitumia kwa sababu inumiza sana macho.laptop...
0 Reactions
4 Replies
851 Views
Heshima kwenu wakuu! Nahitaji details za simu za bei rahisi (100k - 200k) ambazo zina uwezo wa kurekodi mazungumzo ya mtu pale unapompigia au anapokupigia. Naomba msaada wenu wa haraka. Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalam,mwenzenu yamenikuta,nina stereo cassete tape deck amplifier model DC-99Z pioneer,nimekuwa nikiitumia kama amplifier nyumbani kwangu,sasa juzi imepata tatizo la umeme,ghafla nikaona...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Hi, Here is the Video demo of Hosanna Studio, the PHP IDE that is will be released later. Sorry video is not that good b'se Youtube won't accept my HQ videos. I will try to make HQ video within...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
http://youtu.be/UxypTCLu63k
0 Reactions
4 Replies
1K Views
natafuta key ya windows xp 2000 sp2 niliyo nayo naambiwa not valid:yell:
0 Reactions
3 Replies
787 Views
Je hii device kwa Dar es salaam nitapata duka gani. Na je ni tsh ngapi?. Msaada Tafadhali nahitaji kwa haraka. Mrejesho: (24 May 2013 ) Nimefanikiwa kuipata hii device Amazon kindle Paperwhite...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuwa nikufuatilia sana habari za teknolojia kupitia website tofauti tofauti kama www.pcworld.com Nimeona OS nyingi kama Android Os, Windows Phone 8 OS, Firefox OS, Symbian OS, iOS na nyingine...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
msaada wakuu, naomba sonny ericson unlock code calculator, mwenye nayo au link ya kudownload
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Wadau natumia Blackberry 8520 na nimekuwa nikitumia app ya Jamii Forum kwa muda mrefu bila matatizo yeyote ila ni kama wiki sasa inagoma kabisa, nimejaribu kuitoa na kuidownload tena lakini mambo...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
http://www.radio1.co.tz/ ila kuna wakati inakata kata nafikiri network yao inakua inasumbua
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Natumia hii cmu na kwa sasa cna hela ya kununua cmu nyingine,naomba msaada juu ya application ambazo zinakubali kwenye hii phone,opera teyari ninayo natumia ku browse pia nawezaje weka whatsapp...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni Amplifire za kurushia picha kwenye cable. Nilishawahi andika hapa kuna baadhi wakanishauli nitumie faiba kuwaomba ufafanuzi zaidi kuhusu hiyo faiba wakaingia mitini. Njia nnayoielewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom