Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari Ndugu wana Jf,naomba msaada ovistore ya Nokia X2-01 inazingua kudownload kila nikiingia nikitaka kudownload inaniambia link not available try again. Asante
1 Reactions
1 Replies
833 Views
anayejua anisaidie steps tafadhali
0 Reactions
3 Replies
795 Views
Wana wa familia hii ya JF natumai mko poa, Tafadhali naombeni kwa anayefahamu juu ya hili tatizo lililoikumba simu yangu ya Nokia101,nikiiwasha yanatokea maandishi ya LOCAL MODE basi halafu...
0 Reactions
2 Replies
890 Views
when i run IGI game give me no D3D drivers with hardware accleration found.nifanyeje?
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Mwenzenu huwa nashindwa kuelewa maana ya vifaa hapo juu pia naomba mnijulishe kazi zake.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana jf hebu nielewesheni katika simu nyingi ninazonunua katika call setting kuna huduma wanaita call waiting hivi maana yake ni nini na ina umuhimu gani?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wataalamu, Nimeletewa simu samsung ila kuna apps zinakuja na maneno ya kichina kwa mfano Opera,Browser yake(simu),na Apps nyingine ila sio zote Thanks in advance...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kudownload windows na Ant virus..
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Wana JF naomba mnisaidie jinsi ya kudownload series kwenye mtandao
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Follow the link:List of Phones that are Compatible with WhatsApp Messenger
0 Reactions
0 Replies
623 Views
jamani nimepokea zawadi ya simu mbili moja ni Nokia e71 ipi ni bora kwa kuperuzi na uimara na Nokia asha 303 moja kati ya hizi nataka kumgei bwana mdogo me nibaki na imara kwa kuperuzi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu mie nimestuck kabisa, Nina Blackberry 8520 yenye os ya v 5.0 na computer yenye windows 7 ultimate. nimejaribu kudownload desktop manager kutoka kwenye website ya blackberry lakini napata...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
wadau nimepewa modem ya vodaphone mobile broadband model K 3806,sasa nimejaribu kuinstall inakataa kuconect ili nipate 'wazungu'.Sijajua modem hii inafaa kutumika hapa kwetu TZ au la.Naomba wenye...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Hello to you all! You have heard of E = mc2 ..., but you probably haven't heard of the whole story! Now, listen to this YouTube Video. E = mc2 is incomplete!
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Habari wadau Nina Laki Mbili Nataka Kununua Smart Phone Dukani je ni simu ipi inayoendana Na Bajeti Yangu na Simu ipi ni Bora na Nzuri Asanteni Sna!!!
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar wanaJF, ninatumia window xp kwenye pc yangu na sijawahi kuweka password ila leo asubuhi nimewasha pc nikashangaa kuona inadai NTpassword. Mwenye kuzijua naomba anisaidie tafadhali!
0 Reactions
1 Replies
551 Views
Habari wandugu, pc yangu ilipata matatzo ya window nikaipeleka kwa rafki yangu ainstall windo mpya.... Kwa bahati mbaya wakat wa kuinstall akaformat local disc D iliyokuwa na data zangu...
0 Reactions
5 Replies
875 Views
kwa wanaojua jinsi ya kuchange binary into ASCII plz help me katika hii..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kuna samsung galaxy s4 inauzwa kwa bei ya 670$ tu brand new with box na vifaa vyake vyote complete set toka dubai with one year warranty withit.contact me by my email chokamb@hotmail.com or...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari ya hali zenu wadau wa jukwaa hili jf,wandugu mja wenu nahitaji usb cable ya nokia 2330c2 au any utility ambayo naweza tumia kuflash hiyo phone tajwa(nokia 2330c2), kwa sasa nipo mjini...
0 Reactions
2 Replies
644 Views
Back
Top Bottom