Habari zenu.
Nina maswali machache yananitatiza kuhusu bumps katika barabara nahisi majibu ya wataalamu yatasaidia.
1. Je katika mafunzo yenu ya ukandarasi huko vyuoni huwa mnafundishwa kuhusu...
nimejaribu kuangalia ina features nyingi na zaidi naona inastream youtube video direct nimekuta nazielewa sana hizi simu kwamfano E72 jamani hivi ni kweli toleo hili la Nokia ni zuri zaidi? au...
Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si...
habari za kwenu wanaJF. Naomba mnisaidie kunielimisha niweze kuelewa jinsi ya kuunlock simu za iphone hasa hasa iphone 3gs kwakuwa hiyo ndo ambayo mimi ninayo na nashindwa kuitumia sababu ipo...
kwa muda mrefu nilikuwa napata shida sana kila nnapodownload file lenye extension ya .iso, .daa, .img, na mengine ambayo yanakuwa na image za cd au dvd
ilinibidi kwanza ni extract content via...
Leo
nimejiunga na huduma ya vodacom ya cheka time ya Tsh 400 ambayo unapewa
dk 10 za vodacom kwenda vodacom na MB 25 na sms100 baada ya kujiunga
nilipiga sim nikaongea kwa dk 5.53 cha...
Wakuu habari...
Modem yangu kwa siku ya pili mfululizo haisomi katika kompyuta yang na hivyo siwezi kuunga ili kupata internet, nilijaribu kuiunistall mwanzo na kuinstall upya haikufua dafu...
Hi guys,
I was opening a C++ code with gedit, I think the file was being corrupted in the process of opening, and the following message was displayed:
"There was a problem opening the file...
ndg wana jf nime download software kwa ajiri ya ku update receiver, but software ipo kwene mfumo rar while receiver inahtaj abs format nifanyeje wandugu? msaada plz
Habari zenu wadau humu ndani!
Nina shida kwa mtu anaejua upatikanaji wa Receiver ya hawa jamaa (Abu Dhabi TV Network) maana nimejaribu kuperuzi kwenye mtandao kama wana msamabazaji hapa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.